Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 588
- 648
Behind the scene ya kila kinachoonekana kuipinga katiba inayopendekezwa na wale wanaojiita UKAWA ipo katiba ibara ya 97
Chanzo cha kuaminika toka katika umoja huo kinasema kuwa, kutokana na mipango ya umoja huo hasa kujidai wanataka nafasi ya urais na kulingana na mipango yao ya baadae kama wanavyojidanganya wataishika dola....ibara hii na vipengele vyake imekuwa ikiwaumiza vichwa na kuwa mwiba mchungu kwenye mikakati yao na hii imekuwa ni moja ya sababu ya wao kuipinga katiba inayopendekezwa na chanzo hicho kimeeleza kuwa katika vikao vinavyoendelea kukaliwa na umoja huo wanaendelea kuangalia vifungu vinavyoonekana vitakuwa mwiba kwao na kutaka vile vitakavyo onekana vitawasaidia...na pia chanzo hicho kimeeleza kuwa katika vikao vilivyokaliwa hivi karibuni waliweka wasiwasi kutokana na kila ishara inayoonesha katiba hiyo itapita baada ya wananchi kuanza kuielewa na kutambua faida ya yale yaliyomo katika katiba hii
Kuthibitisha ubora wa katiba hiyo umoja huo(UKAWA) umepanga na umeshatoa ombi la kutumika kwa baadhi ya vipengele vilivyo katika katiba inayopendekezwa....baadhi ya sehemu walizoomba zitumike ni
1) Rais kushinda kwa zaid ya asilimia 50 yaani 50+1
2) Mgombea huru
3) Matokeo ya Rais kupingwa mahakamani
4) Tume huru ya Uchaguzi..........
Chanzo hicho kimeahid kuendelea kutujuza yale yaliyomo katika makubaliano ya umoja huo...