Utapata shida sana kuuliza jina, Hilo jina umelikut, umeliiga na utaliacha hapa hapa baada ya matumizi yako kuisha (maana jina lako lina expiring date) kulitumia, mie nikiendelea nalo kama kawaida maana ni langu sio jina la bandia kama lako la kuiga. Katiba hii pendekezwa wewe haujaisoma ila umelishwa cha kupost hapa JF. Mtu yeyote mwenye sound mind, ambaye hana ushabiki wa chama chochote (wala halindi maslahi yake ya kifisadi) akiisoma hiyo document ya serikali ataona hayo madhaifu makubwa, na tunaposema madhaifu haina maana kuwa kila kilichomo ni rubbish, No. Kuna mazuri yapo ila nami nimekushangaa umetaja maeneo ambayo yana udhaifu mkubwa sana yanayotakiwa kufanyiwa marekebisho and on top of that ongeza na eneo la maadili nalo liko hovyo hovyo... Halafu kuna watu tunawaambia wanasema eti nao wameona, eti kwa sasa tupitishe tu marekebisho yatafanyika baadaye, very strange ideas,,,,.... the best option is not constitutional amendment but let's start afresh b'se now we have failed the nation