Ibara ya 97 ya Katiba Inayopendekezwa inawachefua UKAWA

Hakuna cha kuwafanya UKAWA kuhofia katika ibara ya 97 nothing at all!
Waganga njaa wa Ukawa mnajulikana tuu, wazee wa jero jero, hamchoki kuwemo humu ndani njaa zitawaua nyie watoto, duh mnapinga hata yaliyoya kweli, Ukawa yenyewe chali haijielewi kwa sasa mpaka wengine wanajuta kufunga ndoa na Ukawa maana wamekutana na mijitu yenye kupenda madaraka akina Mbowe na Slaa na Mbatia.
 
Usiisome katiba kama kasuku wewe, hivi lini utaacha uvivu wa kusoma, ndo maana unaelewa vitu nusunusu, sasa kwa styl hiyo hutoelewa hiyo katiba kijana, soma vipengele vyote kwa makini then ujue yaliyomo.
 

UKAWA ni MBOWE maana ndiye anayeirimoti. Aidha waikubali katiba ama wasambaratike kwa ibara hiyo.
 
Anakera sana
Amekuwa ni lijitu la vurugu kila kona afu linajifanya linajua kuongea as if mdomo wale umewekewa kifurshi cha OFA MAALUM cha tigo, lkn kwa bahati mbaya yote anayoongeaga ni pumba tupu. Na hakika hafai kuwa kiongozi maana naamini nchi itaingia machafukoni. Hata huyo babu yao Slaa ndo wale wale wazinzi wenye kuiba wake za watu, hivyo hafai kuwa kiongozi maana atatumia ubabe wake kuiba wake za wenzie, Upadremumemshinda atauweza Urais?
 
Tuangalie ukweli bila kushabikia ukawa wala ccm, kiujumla katiba imeharibiwa na kuna vipengele havina maantik, usisapot kitu Kwa kumfurahisha MTU.
Mimi sijadharau asiyesoma, nimelinganisha jinsi wabunge wenyewe wanyojipendelea, elimu kujua kusoma na kuandika halafu mshahara milioni kibao, hata hapo kuelewa kunahitaji darubini?
 
Wewe piga jero jero zako acha kudanganya watu hapa, unaropoka tu eti katiba imeharibiwa ya kwako wewe iko wapi nzuri? Huo ndo upotoshaji wenyewe kwa umma, kwanza we ni nani wa kuwasemea watanzania humu ndani?
 
Kwa hiyo, kwa mtazamo wako BUKAMA suala la viwango kwako halima maana? Endapo hatuwezi kuweka viwango husika, hawa wabunge watatunga sheria zipi na kuisimamia serikali vipi iwapo umuhimu wa elimu na weledi tutavidharau? Basi kama ni hivyo hakuna haja ya kuwa na professionalism Tanzania. Tusimlaum daktari endapo amefanya upasuaji na kuacha kitambaa tumboni mwamgonjwa, tusiwalaum Tanesco endapo LUKU hazisomi na tunaishia kulipa gharama kubwa, tusimlaum Magufuri, endapo barabara mbovu zinajengwa na kuharibika muda mfupi, tusimlaum waziri wa elimu endapo wanafunzi wamemaliza kidato cha 4 hawajua kusoma bado. Mimi wewe na wenzio mlojiunga kuanzia mwezi wa tatu 2015 kwa wingi hapa JF naona hamlitakii mema taifa hili. Kwa mtu yeyote mtafiti kidogo anaweza kuona jinsi mnavyoshangilia hata mambo ambayo kwa hekima ya kawaida yanahitaji kuangaliwa upya badala ya ushabiki
 
Vitu visivyo na kiwango hakuna anayevikubali isipokuwa aliyevitengeneza. Kwa ujumla tunataka nchi iendeshwe vizuri ili waliowengi wafaidi keki ya Taifa. Hapa kinachokataliwa ni upotoshaji wa maudhui ya Katiba Inayopendekezwa na mchakato mzima wa kutunga Katiba Mpya.
 
Labda nikukumbushe ndugu kuwa huwezi kutengeneza Katiba Inayokubaliwa na kupendwa na watu wote. Hiyo haitakuwa katiba bali kitabu cha hadithi hata ambacho hakipendwi na watu wote. Katiba Inayopendekezwa kura ya ndiyo haiepukiki.
 
Unajifanya kuikataa id yako ulofungua juzi baada ya maboss wako wa Ukawa kukwambia uongeze id nyingine humu ndani, hahahhaha njaaa hiyooo mchumia tumbo na kibaraka wa Ukawa.
You belong to the foolish group, kama unafanya ujinga huo unadhani kila mtu yuko kama ww
 
ukikua utaacha kuandika ujinga huuu
 
Huwezi kuona tofauti wewe hujui jema na baya kwako utukane usitukane ni sawa tu unauliza nini wakati ndo maisha yako!!sona haja ya kubishana na wewe huna constructive point kaa mbali!

haya nakaa mbali endelea kubwabwaja kisiruanimbalizakariamentalistik wewe.
 
You belong to the foolish group, kama unafanya ujinga huo unadhani kila mtu yuko kama ww

Acha vurugu,kila mtu anaweza kutoa lugha unayoitumia,Kwa mwendo wako unafikiri inakusaidia instead of being constructive unaharibu!jitahidi kujenga hoja!!
 

Duu jamaa umeandika bonge la ushairi sijui unataka ukimaliza kulisoma mwenyewe unamkabidhi nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…