Palmoni
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 1,968
- 3,760
Hutaki mchakato iwe na watu lakini kwenye hoja zako unazoandika ndani yake unawataja hapo hao ambao huwataki,,"NANUKUU"kajimstari katika hiyo hoja yako hapo juu"Ukweli ukisemwa na "WATU"fulani unageuka unakuwa uongo"Mwisho wa nukuu.Kwa nino una focus kwa watu badala ya ku focus kwenye michakato na matokeo na kuyapima matokeo?
Ukweli ukisemwa na watu fulani unageuka na kuwa uongo?
This is goingbto be an ad h9minem fallacy.
Badala ya kuchambua hoja, unamshambulia mtoa hoja.
Hii fallacy huwa inatumiwa sana na watu wasioweza kujadili hoja na wasio na hoja.