Ibishie dunia siyo ulimwengu

Ibishie dunia siyo ulimwengu

Kwa nino una focus kwa watu badala ya ku focus kwenye michakato na matokeo na kuyapima matokeo?

Ukweli ukisemwa na watu fulani unageuka na kuwa uongo?

This is goingbto be an ad h9minem fallacy.

Badala ya kuchambua hoja, unamshambulia mtoa hoja.

Hii fallacy huwa inatumiwa sana na watu wasioweza kujadili hoja na wasio na hoja.
Hutaki mchakato iwe na watu lakini kwenye hoja zako unazoandika ndani yake unawataja hapo hao ambao huwataki,,"NANUKUU"kajimstari katika hiyo hoja yako hapo juu"Ukweli ukisemwa na "WATU"fulani unageuka unakuwa uongo"Mwisho wa nukuu.
 
Kwa nini watu wawe muhimu kuliko hoja? Unabisha kwamba dunia haina miaka 4.54 billion?

Ikiwa kweli dunia ina miaka hiyo, itakuw aina miaka hiyo tu, bila kujali nani kasema.

Sasa, kwa nini unaacha kuangalia hoja, ukubali au upinge umri huo wa dunia, unaanza kung'ang'ania watu waliosem ahivyo.

Hiyo ni jibu la peer reviewed scientific process, haijali mtu, inajali facts.

Unaelewa hilo?
 
Hizo peer reviewed scientific process na hizo facts umezijuaje kama si kupitia watu??na pia kwani wewe una uhakika ya kuwa dunia ina miaka hiyo uliyoandika??Thibitisha hilo sasa
 
Kama hutaki cha mtu, nimekwambia na wewe usitumie alphabet ya watu, anzisha yako.

Usiandike kwa kutumia alphabet ya watu, usitumie app ya watu, usitumie internet ya watu. Anzisha vyako.

Umeshindwa.

Unajielewa hata wewe mwenyewe unasimamia nini?

Au unawayawaya tu bila muelekeo?
 
Kama na wewe umeanzisha ulivyoandika na unavotumia ni vya kwako Hongera mnoo,, kwa kuwa na wewe ni MTU pia,,,acha na wengine wafanye yao kwa upande wao ambao wanaona ni sahihi Iwe wametoa kwa watu au wamebuni wao wenyewe hakuna aliewahi kwisha kuwa sahihi,,yupo sahihi au atakuja kuwa sahihi,,kila MTU ana,,Fikra,,,maono na mitazamo tofauti hatuwezi fanana kamwe.
 
Kwa argument yako hiyo hiyo.

Na wewe anzisha JF yako, acha kutumia waliyoanzisha wenzako.
 
Kwa nino una focus kwa watu badala ya ku focus kwenye michakato na matokeo na kuyapima matokeo?

Ukweli ukisemwa na watu fulani unageuka na kuwa uongo?

This is goingbto be an ad h9minem fallacy.

Badala ya kuchambua hoja, unamshambulia mtoa hoja.

Hii fallacy huwa inatumiwa sana na watu wasioweza kujadili hoja na wasio na hoja.
Hoja ipo lakini Ndugu.."kwamba waliofanya huo mchakato ni Akina nani?" Hii hoja nzuri tu.

Kuna Namna fact HAIWEZI kubishaniwa Lakini hizi habari za maoni binafsi sometimes take time to listen even if MTU hawezi kujenga hoja unayotaka wewe
 
Zee la fact hujawahi kunifelisha
Kiranga ni mmoja tu, ogopa matapeli.
Bro unajua mpk unajua tena 🙌🙌🙌
 
Hakuna jina la mtu mmoja, wanasayansi karibu wote wa jiolojia wameikubali hiyo hoja, sasa unataka nimtaje nani na kumuacha nani?

Unaweza kuweka hoja ya kisayansi na kimantiki ya kubishia kwamba dunia ina umri wa miaka bilioni 4.54 ? Kama unaweza, weka hoja hapa tuichambue, utachapisha paper na ukiwa sahihi utapata nishani ya Nobel.

Kama huwezi, huna hoja, una kiroja tu.
 
Zee la fact hujawahi kunifelisha
Kiranga ni mmoja tu, ogopa matapeli.
Bro unajua mpk unajua tena 🙌🙌🙌
Nakushukuru sana kwa kunielewa.

We can be very insular and ignorant as a people, I am here to correct some aspects of that.
 
Hakuna jina la mtu mmoja, wanasayansi karibu wote wa jiolojia wameikubali hiyo hoja, sasa unataka nimtaje nani na kumuacha nani?

Unaweza kuweka hoja ya kisayansi na kimantiki ya kubishia kwamba dunia ina umri wa miaka bilioni 4.54 ? Kama unaweza, weka hoja hapa tuichambue, utachapisha paper na ukiwa sahihi utapata nishani ya Nobel.

Kama huwezi, huna hoja, una kiroja tu.
Salam!!! Ungemjibu hivyo yule ndugu angeelewa tu mantiki Yako, Lakini aina Ile ya majibu kwamba hana hoja wakati hoja ipo sidhani kama ilikuwa sawa.

NB: Ulimwengu huu una maoni ya watu wengi ambayo si kweli ,Wala si fact Lakini yamekubaliwa na walio wengi kwa sababu moja tu...wakoloni walicolonise utu wetu na taarifa pia...Kila wanachosema wao tunataka kuamini kwamba ni sahihi wakati mengi yao ni concept machache ambayo ni fact and we agree as humans
 
Hana hoja. Na wewe huna hoja. Na mimi sipo hapa kum babysit mtu yeyote.

Hana hoja, na wewe huna hoja. Nimekupa nafasi ya kutoa hoja umeshindwa.

Unabaki kulalamika kwa Whataboutism.

Unabisha kuwa umri wa dunia si miaka 4.54 billion? Weka hoja yako tuichambue. Weka figures zako hapa ubishane na Wana jiolojia wa dunia.

Weka namba. Weka njia uliyotumia kuzipata.

Acha longolongo.
 
Hii siyo level ya kulalamika Mzee, yaani nikulalamikie MTU ambaye huna concept Yako, huna mawazo Yako, UNAAMINI concept za wengine with 100% sure as fact.

Hiyo time hapa haipo mkuu
 
Tuendelee kuishi maana tupo kwa muda na sababu,vyote vitaisha.

Dunia na ulimwengu ni vitu viwili tofauti Dunia ni mifumo ya wanadamu na ulimwengu ni UKAMILIFU wa maarifa yote. Unaweza kuita (ulimwengu ni uumbaji wa Mungu)
Dunia maana yake ni nini?

Ulimwengu ni nini?

Nini maana ya "Dunia ni mifumo ya wanadamu"?

Wanadamu maana yake ni nini?
 
Back
Top Bottom