Simba hatuuzi tofauti na Kichuya aliyesepa mapema, Hata Banda ametoka hapaMbona kina Ndemla kila siku wanafeli majaribio? Kuwa mkweli tu kuwa Ajibu kaonekana akiwa Yanga! Hatujashiriki mashindano ya kimataifa lakini wachezaji wetu bado wanaonekana, je tungeshiriki ingekuwaje?
Anaongezewa vipi mkataba wakati klabu haina pesa wala viongozi wa kutafuta pesa?
Mshahara tu ilikuwa tabu, Golikipa wao aligoma sababu hakumaliziwa malipo yake ya usajili na mishahara yake.
Wachezji wote hali ndio hiyo hiyo, Zehera hana kosa hapo.
Hahahaa. Sasa Mtani ubingwa wenyewe huu wa Viti Maalum naona hata auhitaji pongezi.Hivi mtani kuna mahali popote umetupa hongera ya ubingwa?
Nimetafuta sijaona kabisa.
Wewe ndio taja wengine kama wapo... Au Msuva tu basi wameisha ili utajiwe wa simba kama woteNa wewe taja hao wa miaka hiyo! Btw, sio kutaja wachezaji bali kutaja wachezaji wanaofanya vizuri sana huko walikoenda!!
Samatta alikuwa simba kwa mkopo?..Mmepitia lini? Hamkuwagi kusema mmepitia kwa Mbwana Samatta wakati Samatta pale alinusa tu tena kwa "mkopo" baada ya Mo kuiuza Lyon kwahiyo hakuwa na budi kumtafutia Samatta timu ili kipaji chake kisikae hivi hivi! Lakini kwa wazee kama sisi, tunakumbuka kwa miongo ya karibuni ni Jangwani ndio imetoa wachezaji na kwenda kuwika nje kama ilivyo kwa Shaban Nonda na hivi sasa Simon Msuva anavyobamba huko Umangani! Boban kenda Sweden, kakosa bangi siku mbili tu, akaamua kurudi! Okwi nae kaenda SΓΈnderjyskE Fodbold, Denmark akaishia kusugua benchi tu hadi anarudi!
π€£ π€£ π€£ Acheni roho mbaya..Hahahaa. Sasa Mtani ubingwa wenyewe huu wa Viti Maalum pongezi ya kazi gani? ππ
Nitawapa kesho mkimfunga Sevilla. Teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka wananchi waje kujua nini Zahera anawafanyia, watakuwa daraja la pili mwakani.
Mtani kweli na wewe unajiliwaza kwa staili hii?Hahahaa. Sasa Mtani ubingwa wenyewe huu wa Viti Maalum pongezi ya kazi gani? ππ
Nitawapa kesho mkimfunga Sevilla. Teh teh
Mkuu kama hutojali,hivi Sasa Ajibu anachezea tim gani hapa Tz.
πππ kujiliwaza na nini Mtani wakati ni kweli ubingwa ni wa Viti Maalum.Mtani kweli na wewe unajiliwaza kwa staili hii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka wananchi waje kujua nini Zahera anawafanyia, watakuwa daraja la pili mwakani.
Timu itakayomhitaji lazima iwe na si chini bilioni 15Kagere hivi hajapata kikosi? Yupo vizuri kwa sasa japo Mimi yanga
Ila si kweli Mkuu? ππ
[emoji23] wacha we!Timu itakayomhitaji lazima iwe na si chini bilioni 15
Eti eeee? Basi sawa MkuuFitna na roho mbaya tu..ubingwa ni wa Simba, kwa kikosi kipana π
Kumbe ilimsajiri yule? Si alipelekwa na Mo baada ya kuiuza Lyon Sports! Sasa ili kuhakikisha kipaji cha Mbwana kinaendelea kufanya kazi, ndo akampeleka Simba!Samatta alikuwa simba kwa mkopo?..
Over the past 25 years, nimekutajia wawili! Wewe nitajie mmoja TU!Wewe ndio taja wengine kama wapo... Au Msuva tu basi wameisha ili utajiwe wa simba kama wote
ShikamooHahahaaa! Naona umeshindwa kuvumilia mkuu