ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Vyombo vya dola vilicheza kama Pele,wafanya vurugu walishobokea gari la wajeda,pale ubungo mpaka magomeni, wajeda walipokaribia mwembechai wakaongeza spidi, wafanya vurugu wakabaki wao kama wao pale mwembechai,polisi wakatokeza,wakatembeza njugu za kutosha halafu kikosi kile cha yule jamaa mwenye jezi ya yanga wakipitisha gari juu ya maiti kwenda kusaka wahalifu wengine, rudieni tena 9DNaiheshimu sana MO29 Katu sikutegemea km watz wanaweza kuchangamsha hawa mabolizozo
Zamu yenu inakuja.Vyombo vya dola vilicheza kama Pele,wafanya vurugu walishobokea gari la wajeda,pale ubungo mpaka magomeni, wajeda walipokaribia mwembechai wakaongeza spidi, wafanya vurugu wakabaki wao kama wao pale mwembechai,polisi wakatokeza,wakatembeza njugu za kutosha halafu kikosi kile cha yule jamaa mwenye jezi ya yanga wakipitisha gari juu ya maiti kwenda kusaka wahalifu wengine
*****,rudieni tena 9D
Hiyo tume ndiyo muendelezo wa upumqvu wao ambao umekaribia mwisho. Hiyo tume haina tofauti na tume huru ya uchaguziMkuu wa Mkoa mstaafu Dkt. Ibrahim Msengi kwaniaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam ameeleza kusikitishwa na uvunjifu wa amani uliotokea siku na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiwataka wale wanaodai haki kutekeleza wajibu wao kwanza, huku pia akimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume ya uchunguzi kufuatia vurugu za Oktoba 29, 2025.
Dkt. Msengi amebainisha hayo leo Jumatatu Novemba 24, 2025 Jijini Dar Es Salaam wakati wa Mapokezi ya Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Mkoani humo akisema kilichotokea siku hiyi haikuwa maandamano bali ni uhalifu ulioandamana na ugaidi na kila aina ya uharamia nchini.
"Nishukuru kuwa Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa ameshaunda Tume ambayo tunaiamini na ninaamini italeta majibu mazuri na hatua zitachukuliwa. Suala la usalama kwenye Ilani yetu ni suala la msingi na kama hakuna amani na usalama hakuna maendeleo."
"Lakini nikumbushe tu kwamba katika mambo mengi tunayoyasikia mtandaoni, linazungumziwa suala la haki pamoja na kuguswa kidogo suala la amani lakini sijasikia popote wakizungumzia suala la uwajibikaji. Unapotafuta haki lazima uwajibike kama mwananchi, kama raia. Sasa wote waliojitokeza na wale waliowatuma katika vurugu zile sijasikia wakizungumzia suala la uwajibikaji." Amesema Dkt. Msengi.
Kiongozi huyo mstaafu na Daktari bingwa wa magonjwa ya binadamu kwaniaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam, akisisitiza suala la haki kuendana na uwajibikaji, amesema ikiwa kila mmoja atawajibika suala la amani na haki litakuwa na kudumu nchini, akitaka hatua za uwajibikaji zaidi zichukuliwe ili kudumisha tunu hizo za Taifa.
Njaa mbaya sana tatizo mtu akishakuwa mwanasiasa tu anakuwa kilema muda huohuo nje ya siasa hakuna kitu anachowezaImagine huyu ni Baba yako astraghafullah tusingeongea mwaka mzima mpaka anakufa
Nakuona unavyofurahia damu za watu kumwagwa na utawala wenu maccmVyombo vya dola vilicheza kama Pele,wafanya vurugu walishobokea gari la wajeda,pale ubungo mpaka magomeni, wajeda walipokaribia mwembechai wakaongeza spidi, wafanya vurugu wakabaki wao kama wao pale mwembechai,polisi wakatokeza,wakatembeza njugu za kutosha halafu kikosi kile cha yule jamaa mwenye jezi ya yanga wakipitisha gari juu ya maiti kwenda kusaka wahalifu wengine
*****,rudieni tena 9D
Ni fala flani aliyevimbiwa kodi za watanzania.Huyo Ibrahim msenge ndo nani?
Mmeanza kukiri wauaji ni askari polisi na hao maghost wa abduli. Risiti zinaendelea kukusanywa.Vyombo vya dola vilicheza kama Pele,wafanya vurugu walishobokea gari la wajeda,pale ubungo mpaka magomeni, wajeda walipokaribia mwembechai wakaongeza spidi, wafanya vurugu wakabaki wao kama wao pale mwembechai,polisi wakatokeza,wakatembeza njugu za kutosha halafu kikosi kile cha yule jamaa mwenye jezi ya yanga wakipitisha gari juu ya maiti kwenda kusaka wahalifu wengine
*****,rudieni tena 9D
jamani hii comment sio jibu tosha ? kuwa ni miongon mwao wale wauajiVyombo vya dola vilicheza kama Pele,wafanya vurugu walishobokea gari la wajeda,pale ubungo mpaka magomeni, wajeda walipokaribia mwembechai wakaongeza spidi, wafanya vurugu wakabaki wao kama wao pale mwembechai,polisi wakatokeza,wakatembeza njugu za kutosha halafu kikosi kile cha yule jamaa mwenye jezi ya yanga wakipitisha gari juu ya maiti kwenda kusaka wahalifu wengine
*****,rudieni tena 9D
Wale aliyowataja Mwigulu ambao walikuwa na silaha na waliuwa polisi hao ni kina nani?Vyombo vya dola vilicheza kama Pele,wafanya vurugu walishobokea gari la wajeda,pale ubungo mpaka magomeni, wajeda walipokaribia mwembechai wakaongeza spidi, wafanya vurugu wakabaki wao kama wao pale mwembechai,polisi wakatokeza,wakatembeza njugu za kutosha halafu kikosi kile cha yule jamaa mwenye jezi ya yanga wakipitisha gari juu ya maiti kwenda kusaka wahalifu wengine
*****,rudieni tena 9D
Hamna huyo ni muislamu tu, yale mauwaji ni jihad kwake yani polisi walikuwa wanapigania uislamu Tanzania.jamaa hii comment sio jibu tosha ? kuwa ni miongon mwao wale wauaji
Muulize lisu alikowatoaWale aliyowataja Mwigulu ambao walikuwa na silaha na waliuwa polisi hao ni kina nani?
Zenji,mi mndengereko we FALAsijamani hii comment sio jibu tosha ? kuwa ni miongon mwao wale wauaji
Kama silaha ndo kiburi chenu bas muda na wakati waja wazenj wote mtalia sn na kutaman kuvuka bahari kwa mbizi