gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kusanya tuMmeanza kukiri wauaji ni askari polisi na hao maghost wa abduli. Risiti zinaendelea kukusanywa.
Kusanya tuMmeanza kukiri wauaji ni askari polisi na hao maghost wa abduli. Risiti zinaendelea kukusanywa.
Lissu anaweza vp kuingiza watu nchi na silaha halafu vyombo vya ulinzi visijue?Muulize lisu alikowatoa
Vilijua, ndiyo maana baadhi walikua maghorofani wakirekodi na ku-snipe,mafala wapo mikononi,subiri patulie uone lile genge la kisiasa litavyosambaaLissu anaweza vp kuingiza watu nchi na silaha halafu vyombo vya ulinzi visijue?
Kama walijua na wakaacha hapo nani wa kulaumiwa?Vilijua, ndiyo maana baadhi walikua maghorofani wakirekodi na ku-snipe,mafala wapo mikononi,subiri patulie uone lile genge la kisiasa litavyosambaa
Katikati ya nyumbu utawachomoaje kabla ya tendo!?Kama walijua na wakaacha hapo nani wa kulaumiwa?
Yaani mtu anayechukua hatua ya kujilindaMkuu wa Mkoa mstaafu Dkt. Ibrahim Msengi kwaniaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam ameeleza kusikitishwa na uvunjifu wa amani uliotokea siku na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiwataka wale wanaodai haki kutekeleza wajibu wao kwanza, huku pia akimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume ya uchunguzi kufuatia vurugu za Oktoba 29, 2025.
Dkt. Msengi amebainisha hayo leo Jumatatu Novemba 24, 2025 Jijini Dar Es Salaam wakati wa Mapokezi ya Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Mkoani humo akisema kilichotokea siku hiyi haikuwa maandamano bali ni uhalifu ulioandamana na ugaidi na kila aina ya uharamia nchini.
"Nishukuru kuwa Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa ameshaunda Tume ambayo tunaiamini na ninaamini italeta majibu mazuri na hatua zitachukuliwa. Suala la usalama kwenye Ilani yetu ni suala la msingi na kama hakuna amani na usalama hakuna maendeleo."
"Lakini nikumbushe tu kwamba katika mambo mengi tunayoyasikia mtandaoni, linazungumziwa suala la haki pamoja na kuguswa kidogo suala la amani lakini sijasikia popote wakizungumzia suala la uwajibikaji. Unapotafuta haki lazima uwajibike kama mwananchi, kama raia. Sasa wote waliojitokeza na wale waliowatuma katika vurugu zile sijasikia wakizungumzia suala la uwajibikaji." Amesema Dkt. Msengi.
Kiongozi huyo mstaafu na Daktari bingwa wa magonjwa ya binadamu kwaniaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam, akisisitiza suala la haki kuendana na uwajibikaji, amesema ikiwa kila mmoja atawajibika suala la amani na haki litakuwa na kudumu nchini, akitaka hatua za uwajibikaji zaidi zichukuliwe ili kudumisha tunu hizo za Taifa.
Nakuuliza kuhusu watu waliyokuwa na silaha wewe unanitajia wachoma mabasi.Katikati ya nyumbu utawachomoaje kabla ya tendo!?
Kuna fala alitia petrol basi la watu,alipotia moto tu akala ya kichwa, magomeni huko
Hujaona jibu hapo?..wewe unajua askari wangapi waliuawa?..waliuawa vipi?Nakuuliza kuhusu watu waliyokuwa na silaha wewe unanitajia wachoma mabasi.
Hajasikia suala la Uwajibikaji?? Ana uhakika au disorder za uzee ndo zinamsumbua? Ajulishwe kuwa mzigo upo ICC and we want the big fish herself, the criminal in chief Hassani SuluhuMkuu wa Mkoa mstaafu Dkt. Ibrahim Msengi kwaniaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam ameeleza kusikitishwa na uvunjifu wa amani uliotokea siku na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiwataka wale wanaodai haki kutekeleza wajibu wao kwanza, huku pia akimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume ya uchunguzi kufuatia vurugu za Oktoba 29, 2025.
Dkt. Msengi amebainisha hayo leo Jumatatu Novemba 24, 2025 Jijini Dar Es Salaam wakati wa Mapokezi ya Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Mkoani humo akisema kilichotokea siku hiyi haikuwa maandamano bali ni uhalifu ulioandamana na ugaidi na kila aina ya uharamia nchini.
"Nishukuru kuwa Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa ameshaunda Tume ambayo tunaiamini na ninaamini italeta majibu mazuri na hatua zitachukuliwa. Suala la usalama kwenye Ilani yetu ni suala la msingi na kama hakuna amani na usalama hakuna maendeleo."
"Lakini nikumbushe tu kwamba katika mambo mengi tunayoyasikia mtandaoni, linazungumziwa suala la haki pamoja na kuguswa kidogo suala la amani lakini sijasikia popote wakizungumzia suala la uwajibikaji. Unapotafuta haki lazima uwajibike kama mwananchi, kama raia. Sasa wote waliojitokeza na wale waliowatuma katika vurugu zile sijasikia wakizungumzia suala la uwajibikaji." Amesema Dkt. Msengi.
Kiongozi huyo mstaafu na Daktari bingwa wa magonjwa ya binadamu kwaniaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam, akisisitiza suala la haki kuendana na uwajibikaji, amesema ikiwa kila mmoja atawajibika suala la amani na haki litakuwa na kudumu nchini, akitaka hatua za uwajibikaji zaidi zichukuliwe ili kudumisha tunu hizo za Taifa.
Hapo kwenye jina lake kuna herufi moja imekosewa...Huyo Ibrahim msengi ndo nani?
Msengi
Unyama huu unajulikana ndio maana mama yenu the hague inamnyatiaVyombo vya dola vilicheza kama Pele,wafanya vurugu walishobokea gari la wajeda,pale ubungo mpaka magomeni, wajeda walipokaribia mwembechai wakaongeza spidi, wafanya vurugu wakabaki wao kama wao pale mwembechai,polisi wakatokeza,wakatembeza njugu za kutosha halafu kikosi kile cha yule jamaa mwenye jezi ya yanga wakipitisha gari juu ya maiti kwenda kusaka wahalifu wengine
*****,rudieni tena 9D