PostGE2025 Ibrahim Msengi: Kilichotokea Oktoba 29 ilikuwa ni uharamia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu naye anawekwa kwenye black list time to time atafikiwa
 
Lissu anaweza vp kuingiza watu nchi na silaha halafu vyombo vya ulinzi visijue?
Vilijua, ndiyo maana baadhi walikua maghorofani wakirekodi na ku-snipe,mafala wapo mikononi,subiri patulie uone lile genge la kisiasa litavyosambaa
 
Vilijua, ndiyo maana baadhi walikua maghorofani wakirekodi na ku-snipe,mafala wapo mikononi,subiri patulie uone lile genge la kisiasa litavyosambaa
Kama walijua na wakaacha hapo nani wa kulaumiwa?
 
Yaani mtu anayechukua hatua ya kujilinda
yeye, unasemaje angekubali kupigwa. Sirikali ndio iliyotakiwa kutoa hiyo Haki Kwanza. Hilo ni tusi Kwa waliodhulumiwa
 
Katikati ya nyumbu utawachomoaje kabla ya tendo!?
Kuna fala alitia petrol basi la watu,alipotia moto tu akala ya kichwa, magomeni huko
Nakuuliza kuhusu watu waliyokuwa na silaha wewe unanitajia wachoma mabasi.
 
Hajasikia suala la Uwajibikaji?? Ana uhakika au disorder za uzee ndo zinamsumbua? Ajulishwe kuwa mzigo upo ICC and we want the big fish herself, the criminal in chief Hassani Suluhu
 
Unyama huu unajulikana ndio maana mama yenu the hague inamnyatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…