Ibrahim Rahbi na Azam na uchambuzi wa mgogoro wa Israel na Hamas

Ibrahim Rahbi na Azam na uchambuzi wa mgogoro wa Israel na Hamas

Yule mbilikimbo mkufunzi wa chuo cha Mwalimu nyerere kigamboni, anayesapoti magaidi ya hamas, leo nimemuona tena azam tv akiendelea kulaumu Israel kwamba ndio wakulaumiwa, na haoni kama hamas kushikilia mateka kama wanatakiwa kulaumiwa. hivi chuo cha mwalimu nyerere memorial haya anayoyaongea ndio mmemtuma? huyu si anawasakilisha ninyi?

1. Tanzania kuna watu wanaosapoti Israel, na wengine wanasapoti Palestina,
2. yote hii ni kwasababu ya dini, hivyo hii ni sensitive issue, usikimbilie sana kusimama upande mmoja kwenye public.

3. yeye kama mwajiriwa wa chuo cha serikali, muislam swala tano, anapokuja kushabikia magaidi ya hamas na kuilaumu israel, bila kulaumu hamas walioteka watu na watoto hadi leo wapo mateka, ndio azam wamemtuma kwasababu ni waislam au ni chuo cha mwalimu nyerere ndio wamemtuma kwasababu serikali inaongozwa na waislam hivyo haina shida hata ukiongea masuala ya hisia kwa wakristo maadam rais ni wenu no problem?
 
Yeye ni muislam, Azam channel ya muislam imemuweka awe anachambua masuala yote yanayoigusa Israel na Hamas, pamoja na wahurthi.

1. Anasapoti wahurthi Yemen, na anasema wanafanya cha maana kuzuia meli zisiende Israel na dunia iache unafiki, ishughulikie kwanza vita ya Gaza ili wahuthi waacha kushambilia meli (ambazo hata sio za Israel).

2. Anasema Bandari ya Eliat ambayo ipo Israel, ipo kwenye ardhi ya Palestina. Amesahau kwamba Umoja wa mataifa unaitambua Israel kama nchi na hauitambui palestina kama nchi. Kama UN wameitambua Israel kama nchi, mfanyakazi mmoja wa serikali ya Tanzania anakujaje leo kusema Israel sio nchi? Na kwamba ile bandari haipo ISrael ipo palestina?

3. Yeye ni mfanyakazi wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy, chuo cha serikali, serikali haina dini, na hata kwenye migogoro yote hii serikali haijatamka lolote kwasababu wanajua nchini kuna wafuasi wengi wanaoipenda Israel na wengi wanaoipenda Palestina, huwezi kusimamia upande mmoja labda kama haupo serikalini.

Anapokataa uwepo wa Israel wakati bado anafanya kazi serikalini, anafanya hivyo kwa kuwakilisha chuo cha mwalimu nyerere au anafikiri nini? Chuo kimwangalie kwasababu suala la dini, Israel na palestina sio laini, linaweza kuharibu mshikamano wetu.

4. Ni mtanzania wa aina gani tena mfanyakazi wa serikali anaweza kuongea mbele ya chombo cha tv kwamba wahurthi Yemen wasilaumiwe badi Israel ndio ilaumiwe?

Kwahiyo eneo lile la bahari ya wote ambalo magaidi ya Yemen yanazuia nchi zingine zisipite sio ugaidi? Na yeye tuseme sio gaidi? hivi gaidi akija nyumbani kwa IBRAHIM RAHBI hawezi kumhifadhi na akasababisha matatizo nchini kwetu kama ana mlengo huo? yeye sio gaidi? hasapoti magaidi?
Kajamaa kaongo kaongo sana kanapendelea sana Iran+Hezbollah+Houth Yemen, hajui kwamba kila mtu anaujua ukweli.
 
Jamaa ni pro - Hamas, pro - Houthi na pro - Hezbollah mkubwa.
Kuna siku alipingwa na mtangazi mmoja wa VOA ( somebody Abdurahman) mpaka Goodluck akaona aibu yeye.
Huwa anajenga hoja bila ushahidi ukimuuliza swali juu ya anachosema anatoka road kinyama goodlucky mwenyewe alishaacha kumuuliza maswali magumu juu ya fafanuzi zake
 
Back
Top Bottom