Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa mfano akichambua kwa kuisifia Israel kuishambulia Hamas, ataendelea kualikwa Azam?Yule ni mchambuzi na anachambua kwa mtazamo wala sio msimamo wa media house ya Azam, unasumbuliwa na udini bro, na wewe chambua tuone maoni yako.
Gaidi kwako ni mpigania uhuru kwa mwingine kama ambavyo Mandela alipigwa ban kuingia US kuwa ni ugaidi.Yeye ni muislam, Azam channel ya muislam imemuweka awe anachambua masuala yote yanayoigusa Israel na Hamas, pamoja na wahurthi.
1. Anasapoti wahurthi Yemen, na anasema wanafanya cha maana kuzuia meli zisiende Israel na dunia iache unafiki, ishughulikie kwanza vita ya Gaza ili wahuthi waacha kushambilia meli (ambazo hata sio za Israel).
2. Anasema Bandari ya Eliat ambayo ipo Israel, ipo kwenye ardhi ya Palestina. Amesahau kwamba Umoja wa mataifa unaitambua Israel kama nchi na hauitambui palestina kama nchi. Kama UN wameitambua Israel kama nchi, mfanyakazi mmoja wa serikali ya Tanzania anakujaje leo kusema Israel sio nchi? Na kwamba ile bandari haipo ISrael ipo palestina?
3. Yeye ni mfanyakazi wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy, chuo cha serikali, serikali haina dini, na hata kwenye migogoro yote hii serikali haijatamka lolote kwasababu wanajua nchini kuna wafuasi wengi wanaoipenda Israel na wengi wanaoipenda Palestina, huwezi kusimamia upande mmoja labda kama haupo serikalini.
Anapokataa uwepo wa Israel wakati bado anafanya kazi serikalini, anafanya hivyo kwa kuwakilisha chuo cha mwalimu nyerere au anafikiri nini? Chuo kimwangalie kwasababu suala la dini, Israel na palestina sio laini, linaweza kuharibu mshikamano wetu.
4. Ni mtanzania wa aina gani tena mfanyakazi wa serikali anaweza kuongea mbele ya chombo cha tv kwamba wahurthi Yemen wasilaumiwe badi Israel ndio ilaumiwe?
Kwahiyo eneo lile la bahari ya wote ambalo magaidi ya Yemen yanazuia nchi zingine zisipite sio ugaidi? Na yeye tuseme sio gaidi? hivi gaidi akija nyumbani kwa IBRAHIM RAHBI hawezi kumhifadhi na akasababisha matatizo nchini kwetu kama ana mlengo huo? yeye sio gaidi? hasapoti magaidi?
Si kama udini umejaa, anachoongea huyu jamaa ni ukweli mtupu ambao watu wengi hawataki kuusikia. Israel imeundwa na Waingereza na Wamarekani mwaka 1948 kabla ya hapo Israel haikuwa nchi, wewe unaumia wapi kwa ukweli huu?Jamaa fulani azam wamemuweka kila siku asubuhi awe anachambua masuala ya kisiasa, anaamini anajua sana kumbe hamna kitu udini tu umemjaa. hajawahi kuongea chochote ila vile vinavyopendelea dini yake.
Kweli udini ni mwingi azam,Yule ni mchambuzi na anachambua kwa mtazamo wala sio msimamo wa media house ya Azam, unasumbuliwa na udini bro, na wewe chambua tuone maoni yako.
hivyo ndivyo mnavyofundishwa huko misikitini, tuambie lini kulishawahi kuwa na taifa la palestina, taja hata rais mmoja tu au waziri mkuu au hata mfalme. nenda kawaulize na viongozi wako ukiona hujui hili swali.Si kama udini umejaa, anachoongea huyu jamaa ni ukweli mtupu ambao watu wengi hawataki kuusikia. Israel imeundwa na Waingereza na Wamarekani mwaka 1948 kabla ya hapo Israel haikuwa nchi, wewe unaumia wapi kwa ukweli huu?
gaidi kwangu mimi ni mtu aliyemuua Joshua na clement, watanzania wasio na hatia kabisa, gaidi ni mtu yeyote anayesema kuua mtu unapewa mabikira 72. ni nini icho sasa kama sio ugaidi?Gaidi kwako ni mpigania uhuru kwa mwingine kama ambavyo Mandela alipigwa ban kuingia US kuwa ni ugaidi.
Udini unaingiaje hapo?
NB; Waisraeli sio Wakristo
kwenye ardhi ya waisrael, Biblia imeonyesha hadi mipaka. tuambie, lini kulishawahi kuwepo taifa la palestina, ili tujue kuwa ni kweli hiyo ardhi ni ya wapalestina. waarabu wote wameshindwa kujibu hili swahi labda wewe utaweza. tutajie hata rais wao mmoja tu, au waziri wao mkuu au mfalme prior to 1948.Kigezo sio kujenga hizo bandari zimejengwa kwenye aridhi ya nani?
hiyo haki kwenye international water wanaitoa wapi, ongea kama una ubongo walau kidogo.Hoja zako azina mashiko jeshi la Yemeni linahaki ya kuzuia meli zipite kwenye maji yake
Pia hiyo bandari ya isirael mwanzo ilikuwa upande wa palesitina wakaikalia kwa mabavu
Unapo sema heti ni muisilamu huo ni upumbavu kwani muisilamu apaswi kusema kweli?
Nchi ya afirika kusini imeishitaka Israel kwenye mahakama ya kimataifa kosa mauji ya kimbari ndio kusema hao wanasheria ni waisilamu?
[emoji1787][emoji1787]argument ya kitoto sasa hii,anayepaswa kumshangaa Bakhresa kuhusu muziki,mpira,ndondi..ni nyie mnayemuona ni bonge ĺa ustaadh huku mkijipanga foleni kwenda kuomba hela na majuba yenu!Yaani azam Tv Ina maadui wengi kisa mmiliki ni muislam
Zile chaneli za miziki na mipira mbona hamsemi uislamu hautaki ila kaziweka?
Mkuu unaijuwa historia lakini au na wewe ni wale wale tu?hivyo ndivyo mnavyofundishwa huko misikitini, tuambie lini kulishawahi kuwa na taifa la palestina, taja hata rais mmoja tu au waziri mkuu au hata mfalme. nenda kawaulize na viongozi wako ukiona hujui hili swali.
wewe unayeijua historia, tuambie, lini paliwahi kuwepo taifa linaitwa palestina, tutajie rais wao au mfalme wao, au hata waziri mkuu. taja tafadhali.Mkuu unaijuwa historia lakini au na wewe ni wale wale tu?
Hamasi sio magaidi magaidi ni hao UN na Israel wanao ua watoto na wanawakeYeye ni muislam, Azam channel ya muislam imemuweka awe anachambua masuala yote yanayoigusa Israel na Hamas, pamoja na wahurthi.