Kuunga mkono wa houthi wa Yemen kachemka
Yemen Sasa hivi majeshi ya kimataifa yanaingia tu kupigana nao bila kibali Cha umoja wa mataifa sababu Yemen Haina Serikali hivyo Wao wanaonekana tu kama magenge ya wahuni wanaoleta shida tu kushambulia meli za watu.Sababu hawana Serikali hawawakilishi Serikali yeyote ni makundi tu ya kigaidi
Dunia ukiruhusu Kundi lolote la vibaka Leo waamue kufungia Barabara au njia ya meli Dunia haitakalika
Tushukuru Polisi wa Dunia Marekani ambao wakishaona Kuna Hali kama hiyo hutumia meli zao na majeshi kwenda kupambana na hayo makundi huko baharini Kwa gharama zao
Sasa hivi wamepeleka meli na Ndege za kivita kibao na wanajeshi kupigana na wa Houthi ili hiyo njia ya meli iwe wazi na wanawashambulia hasa