Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
BBC wanasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea una upeo gani lakini swala israel kuikalia palestina kwa mabavu ni uongo?unajua kuna watu wanaishi wakiamini vile wanavyohisi wao kila mtu yupo hivyo, kale kagaidi kanaamini watanzania wote hawaitambui na hawatakiwi kuitambua israel kama nchi, bandari za Israel anasema ni bandari za Palestina ambazo Israel inazikalia kwa mabavu, lini wapalestina wamejenga, atasema miaka mingi. anataka watu wote tuichukie israel na azam wamemuweka hapo makusudi kwa ajili ya kusambaza hiyo sumu.
Hakuna mtu duniani na mchambuzi wa hivyo kama huyo jamaaYeye ni muislam, Azam channel ya muislam imemuweka awe anachambua masuala yote yanayoigusa Israel na Hamas, pamoja na wahurthi.
1. Anasapoti wahurthi Yemen, na anasema wanafanya cha maana kuzuia meli zisiende Israel na dunia iache unafiki, ishughulikie kwanza vita ya Gaza ili wahuthi waacha kushambilia meli (ambazo hata sio za Israel).
2. Anasema Bandari ya Eliat ambayo ipo Israel, ipo kwenye ardhi ya Palestina. Amesahau kwamba Umoja wa mataifa unaitambua Israel kama nchi na hauitambui palestina kama nchi. Kama UN wameitambua Israel kama nchi, mfanyakazi mmoja wa serikali ya Tanzania anakujaje leo kusema Israel sio nchi? Na kwamba ile bandari haipo ISrael ipo palestina?
3. Yeye ni mfanyakazi wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy, chuo cha serikali, serikali haina dini, na hata kwenye migogoro yote hii serikali haijatamka lolote kwasababu wanajua nchini kuna wafuasi wengi wanaoipenda Israel na wengi wanaoipenda Palestina, huwezi kusimamia upande mmoja labda kama haupo serikalini.
Anapokataa uwepo wa Israel wakati bado anafanya kazi serikalini, anafanya hivyo kwa kuwakilisha chuo cha mwalimu nyerere au anafikiri nini? Chuo kimwangalie kwasababu suala la dini, Israel na palestina sio laini, linaweza kuharibu mshikamano wetu.
4. Ni mtanzania wa aina gani tena mfanyakazi wa serikali anaweza kuongea mbele ya chombo cha tv kwamba wahurthi Yemen wasilaumiwe badi Israel ndio ilaumiwe?
Kwahiyo eneo lile la bahari ya wote ambalo magaidi ya Yemen yanazuia nchi zingine zisipite sio ugaidi? Na yeye tuseme sio gaidi? hivi gaidi akija nyumbani kwa IBRAHIM RAHBI hawezi kumhifadhi na akasababisha matatizo nchini kwetu kama ana mlengo huo? yeye sio gaidi? hasapoti magaidi?
Huyo kama ndiyo kayanena hayo, na kuna ushahidi, chombo kinachompa airtime aeneze upuuzi wake, kichukuliwe hatua haraka.Yeye ni muislam, Azam channel ya muislam imemuweka awe anachambua masuala yote yanayoigusa Israel na Hamas, pamoja na wahurthi.
1. Anasapoti wahurthi Yemen, na anasema wanafanya cha maana kuzuia meli zisiende Israel na dunia iache unafiki, ishughulikie kwanza vita ya Gaza ili wahuthi waacha kushambilia meli (ambazo hata sio za Israel).
2. Anasema Bandari ya Eliat ambayo ipo Israel, ipo kwenye ardhi ya Palestina. Amesahau kwamba Umoja wa mataifa unaitambua Israel kama nchi na hauitambui palestina kama nchi. Kama UN wameitambua Israel kama nchi, mfanyakazi mmoja wa serikali ya Tanzania anakujaje leo kusema Israel sio nchi? Na kwamba ile bandari haipo ISrael ipo palestina?
3. Yeye ni mfanyakazi wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy, chuo cha serikali, serikali haina dini, na hata kwenye migogoro yote hii serikali haijatamka lolote kwasababu wanajua nchini kuna wafuasi wengi wanaoipenda Israel na wengi wanaoipenda Palestina, huwezi kusimamia upande mmoja labda kama haupo serikalini.
Anapokataa uwepo wa Israel wakati bado anafanya kazi serikalini, anafanya hivyo kwa kuwakilisha chuo cha mwalimu nyerere au anafikiri nini? Chuo kimwangalie kwasababu suala la dini, Israel na palestina sio laini, linaweza kuharibu mshikamano wetu.
4. Ni mtanzania wa aina gani tena mfanyakazi wa serikali anaweza kuongea mbele ya chombo cha tv kwamba wahurthi Yemen wasilaumiwe badi Israel ndio ilaumiwe?
Kwahiyo eneo lile la bahari ya wote ambalo magaidi ya Yemen yanazuia nchi zingine zisipite sio ugaidi? Na yeye tuseme sio gaidi? hivi gaidi akija nyumbani kwa IBRAHIM RAHBI hawezi kumhifadhi na akasababisha matatizo nchini kwetu kama ana mlengo huo? yeye sio gaidi? hasapoti magaidi?
Mchambuzi mwenye weledi ambae somehow yuko impartial kwa masuala ya middle East ni Ahmed Rajab.Yeye ni muislam, Azam channel ya muislam imemuweka awe anachambua masuala yote yanayoigusa Israel na Hamas, pamoja na wahurthi.
1. Anasapoti wahurthi Yemen, na anasema wanafanya cha maana kuzuia meli zisiende Israel na dunia iache unafiki, ishughulikie kwanza vita ya Gaza ili wahuthi waacha kushambilia meli (ambazo hata sio za Israel).
2. Anasema Bandari ya Eliat ambayo ipo Israel, ipo kwenye ardhi ya Palestina. Amesahau kwamba Umoja wa mataifa unaitambua Israel kama nchi na hauitambui palestina kama nchi. Kama UN wameitambua Israel kama nchi, mfanyakazi mmoja wa serikali ya Tanzania anakujaje leo kusema Israel sio nchi? Na kwamba ile bandari haipo ISrael ipo palestina?
3. Yeye ni mfanyakazi wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy, chuo cha serikali, serikali haina dini, na hata kwenye migogoro yote hii serikali haijatamka lolote kwasababu wanajua nchini kuna wafuasi wengi wanaoipenda Israel na wengi wanaoipenda Palestina, huwezi kusimamia upande mmoja labda kama haupo serikalini.
Anapokataa uwepo wa Israel wakati bado anafanya kazi serikalini, anafanya hivyo kwa kuwakilisha chuo cha mwalimu nyerere au anafikiri nini? Chuo kimwangalie kwasababu suala la dini, Israel na palestina sio laini, linaweza kuharibu mshikamano wetu.
4. Ni mtanzania wa aina gani tena mfanyakazi wa serikali anaweza kuongea mbele ya chombo cha tv kwamba wahurthi Yemen wasilaumiwe badi Israel ndio ilaumiwe?
Kwahiyo eneo lile la bahari ya wote ambalo magaidi ya Yemen yanazuia nchi zingine zisipite sio ugaidi? Na yeye tuseme sio gaidi? hivi gaidi akija nyumbani kwa IBRAHIM RAHBI hawezi kumhifadhi na akasababisha matatizo nchini kwetu kama ana mlengo huo? yeye sio gaidi? hasapoti magaidi?
kakisimama pale kanaposubiri kuulizwa swali utafikiri kuna chochote kanataka kuongea, 100% biased, islamist na hana nuru yeyote ya ukweli. kama hadi Rais wa nchi ambaye ni muislam mwenye ndugu Oman ameamua kulikalia kimya jambo la Gaza kwasababu anajua linaweza kuligawa taifa, yeye ni nani anakuja kuongea kama ndio msemaji tena akiwa mfanyakazi wa chuo cha kiserikali cha Mwalimu Nyerere? nilimsikia kwa masikio yangu siku moja anasema Tanzania inaunga mkono Palestina na alikuwa anajadili hoja ya mauaji ya wale vijana wawili wa kikristo waliouawa Israel, na amekuwa akiisafisha Hamas kila anapoongea, leo ameongea kabisa kwamba Wahuth wanafanya vile kwa ajili ya wapalestina hivyo Marekani na Uigenereza waache unafiki kuwafuatilia waende kudeal na Gaza ili wahuth wanyamaze, manake anakubaliana na ugaidi mtu yeyote aibuke popote duniani na kusema sitaki hapa ipite meli, kwenye international water, kwa sababu zake binafsi. hivi anafikiri kila mtu ni mfuasi wa wapalestina au gaza?Hakuna mtu duniani na mchambuzi wa hivyo kama huyo jamaa
Kuna siku anasema Putin ameshindwa vita siku anasema Nchi za Magharibi ndo zinapanga lini zimalize vita Ukraine.
Mara Mkuu wa Ujasusi wa Israel amekaa meza Moja na Mkuu wa Ujasusi wa Hamas , alisutwa siko hiyo nikamuona jamaa muongo sana
Ukiitwa pale kama mchambuzi, unatakiwa kuwa impartial, uwe katikati, usionyeshe kuegemea upande wowote kwasababu wasikilizaji pale ni wa pande mbalimbali. azam wanasubiri nini kumpiga marufuku huyu?Mchambuzi mwenye weledi ambae somehow yuko impartial kwa masuala ya middle East ni Ahmed Rajab.
Huyu ambae kijana ambae BBC idhaa ya Kiswahili huwa inamtumia yuko very shallow.
Ukiona au ukimsikia analyst anakoss in-depth knowledge ya anachozungumzia, jua ni anaotumikia maslahi ya tumbo lake.
Ni akili yako tu ndogo. Israel haijawahi kuikalia Palestina kimabavu kwasababu hapajawahi uwepo taifa linaitwa Palestina hapa duniani. Kabla ya 1948 palikuwa protectorate ya British, kabla ya british walikuwepo waturuki/ottoman na wengine kadhaa nyuma, ila kulikuwa na wahamiaji wa kiarabu walioishi pale wakitokea mataifa mbalimbali ya kiarabu ambao walikuwa na matumaini kwamba British wakiondoka tu 1948 basi wao waunde taifa. wakati wanafanya hivyo pale Israel palikuwa na waarabu 160,000 wakati wayahudi walishafikia 600,000 sasa kilichofanyika ni nani awahi kupata taifa. Wayahudi ambao ardhi ile Mungu aliwapatia tangu miaka zaidi ya 6000 iliyopita, wakawawahi waarabu kutangaza uhuru na wao walikuwa ndio wengi. waarabu walipoona waisrael wamewawahi, wakaanza kupigana, waisrael wakasema basi kwasababu sisi sote ni wajukuu wa Ibrahim tugawane basi tukatane katikati,waarabu wakasema hatutaki, tunataka ardhi yote iwe yetu wakati hata haijawahi kuwa state, ni kama mtoto anataka ale andazi lote peke yake ambalo hata ulikuwa hujampa, mwenzake aliyeliwahi anasema tukatane anasema sitaki nataka lote, hadi leo wameng'ang'ania hilo kwamba wanataka waisrael milion 9 waondoke pale wote ili wao wakae. kwa akili ya kawaida, unafikiri watu 9m wanaweza kuondoka? waende wapi, na wakati wewe uliwahiwa kupata state, mwenzako alikuwahi hata haujawahi kutambulika kama state? hii ndio elimu ambayo mashehe hawajawahi kuwaambia, na ndio ya kweli na ni kwasababu hawataki mjue. wayahudi hawajawanyang'anya chochote ila waliwawahi kupata uhuru ambao ninyi mlikuwa mnautaka na kwa ujinga wenu mkachelewa. endeleeni kula vidonge vya mabom.Inategemea una upeo gani lakini swala israel kuikalia palestina kwa mabavu ni uongo?
ISrael hadi leo anaendelea kuchukua maeneo ya palestina na kukiuka mikataba yote ya mipaka iliyowekwa hilo nani asiyejua
Usiwe kipofu kwa ushabiki wa dini, ni watu wachache wanaoweza kusema ukwrli kama huyo mtangazaji
ni kwasababu hayupo impartial, wafanyakazi wa pale ndio watakuambia, hata wale watangazaji wenye majina ya kigalatia wanawaweka mbele ni chambo tu, kilichoko ndani kinajulikana ila simlaumu kwasababu ni tv yake ya pesa zake, aamue chochote ila kisiwe kinaharibu mshikamano na umoja wetu kwa maslahi yake binafsi. dini yake haituhusu na hatutegemei ituhusu.Yaani azam Tv Ina maadui wengi kisa mmiliki ni muislam
Zile chaneli za miziki na mipira mbona hamsemi uislamu hautaki ila kaziweka?
anaongea kwa hoja kwamba Wahuth wa Yemen sio wa kuwalaumu kwa kutenga meli za wafanyabiashara ambao hata sio waisrael kwenye international water? wewe akili umekalia? na huyo ni mfanyakazi wa Chuo cha serikali, manake akiongea hivyo serikali yake ndio inasema hivyo. kwa lugha nyingine ni kwamba chuo cha Mwalimu Nyerere ndio kina msimamo huo, chuo ambacho ndani yake kuna wanafunzi ambao hawana mlengo huo, waalimu ambao hawana mlengo huo pia, na kwasababu sio wote wanafunzi kwa waalimu wana mlengo mmoja alitegemewa kuwa neutral.Anajitahidi bwana, japo sikuwa najua jina lake wala dini yake kama usemavyo mtoa uzi. Yupo smart na anaongea kwa hoja ila wewe umekuja kwa blah blah.

Kwa akili hizo siwezi kubishana na mtu ambaye hana substance na hana anachokijua kwenye international lawsNi akili yako tu ndogo. Israel haijawahi kuikalia Palestina kimabavu kwasababu hapajawahi uwepo taifa linaitwa Palestina hapa duniani. Kabla ya 1948 palikuwa protectorate ya British, kabla ya british walikuwepo waturuki/ottoman na wengine kadhaa nyuma, ila kulikuwa na wahamiaji wa kiarabu walioishi pale wakitokea mataifa mbalimbali ya kiarabu ambao walikuwa na matumaini kwamba British wakiondoka tu 1948 basi wao waunde taifa. wakati wanafanya hivyo pale Israel palikuwa na waarabu 160,000 wakati wayahudi walishafikia 600,000 sasa kilichofanyika ni nani awahi kupata taifa. Wayahudi ambao ardhi ile Mungu aliwapatia tangu miaka zaidi ya 6000 iliyopita, wakawawahi waarabu kutangaza uhuru na wao walikuwa ndio wengi. waarabu walipoona waisrael wamewawahi, wakaanza kupigana, waisrael wakasema basi kwasababu sisi sote ni wajukuu wa Ibrahim tugawane basi tukatane katikati,waarabu wakasema hatutaki, tunataka ardhi yote iwe yetu wakati hata haijawahi kuwa state, ni kama mtoto anataka ale andazi lote peke yake ambalo hata ulikuwa hujampa, mwenzake aliyeliwahi anasema tukatane anasema sitaki nataka lote, hadi leo wameng'ang'ania hilo kwamba wanataka waisrael milion 9 waondoke pale wote ili wao wakae. kwa akili ya kawaida, unafikiri watu 9m wanaweza kuondoka? waende wapi, na wakati wewe uliwahiwa kupata state, mwenzako alikuwahi hata haujawahi kutambulika kama state? hii ndio elimu ambayo mashehe hawajawahi kuwaambia, na ndio ya kweli na ni kwasababu hawataki mjue. wayahudi hawajawanyang'anya chochote ila waliwawahi kupata uhuru ambao ninyi mlikuwa mnautaka na kwa ujinga wenu mkachelewa. endeleeni kula vidonge vya mabom.
sema huna akili. nimekuuliza, taja lini, mwaka gani kulikuwa na taifa linaitwa palestina? rais wake alikuwa nani? ukijibu hao ndio utakuwa umekidhi vigezo vya mtu mwenye akili. la sivyo huna akili.Kwa akili hizo siwezi kubishana na mtu ambaye hana substance na hana anachokijua kwenye international laws
of course, magaidi wengi huwa wanakuwa na watu nyuma yao ambao hata huwezi kuwadhania, huko ndio zinapitia pesa zao. wengine hata huwezi kuwadhania, wanakuwa public figure kabisa.Huyo Ibrahim Rahbu inawezekana ni miongoni mwa magaidi yaliyopanga na kuendesha ule igaidi uliokuwa unafanyika kule Mkuranga na Kibiti.
Kule Kibiti na Mkuranga waliokuwepo watekelezaji lakini waandaji na wapanga mipango walikuwa Dar. Huyu yawezekana ni miongoni.
Ugaidi wa Houthi, hakuna hata nchi moja, Duniani kote inayounga mkono vitendo vyao. Na kwenye hilo Dunia nzima imeungana. Sasa huyu anayeunga mkono, hawezi kuwa binadamu wa kawaida.
Na hao Azam wameshindwa kuwapata watu wema na wenye weledi kuwa wachimbuzi hadi kuwatafuta watu wenye akili ndogo wenye elements za igaidi kuwa wachambuzi wa masuala ya siasa.
Mataifa makubwa yamepata mandate ya UN Security council kuwashughulika Houths, wamchukue na huyu.
Unajua chochote kuhusu oslo accord au unajua hata nchi yako tanzania ilipatikana vipi na tanganyika mipaka yake nani alipanga au ulijua mipaka imewekwa na mungu?sema huna akili. nimekuuliza, taja lini, mwaka gani kulikuwa na taifa linaitwa palestina? rais wake alikuwa nani? ukijibu hao ndio utakuwa umekidhi vigezo vya mtu mwenye akili. la sivyo huna akili.
Nyerere aliitambua Palestine na liipinga Israel,kwenye atlas za Tanzania miaka ya 80 na 90 hakuna nchi ya Israel Bali Palestine,naye alikua mdini!?..wengi tu ulaya na marekani wakiwemo wayahudi wanaipinga Israel..Jamaa fulani azam wamemuweka kila siku asubuhi awe anachambua masuala ya kisiasa, anaamini anajua sana kumbe hamna kitu udini tu umemjaa. hajawahi kuongea chochote ila vile vinavyopendelea dini yake.