Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hahaha 😂 secretarybirdUkoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778
Mwenye ile picha ya kundi la Marais wa Afrika waliojazwa kwenye daladala moja kule Uingereza wakati wa msiba wa Malkia Elizabeth II/kuapishwa kwa Mfalme Charles wa Uingereza aniwekee hapa.Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778
Heshima ni kuheshimiana, Putin amempa Traore heshima kubwa sana hivyo na yeye anarudisha. Nyie hao viongozi wenu wa kiafrika wanaogawa raslimali za nchi zao kwa mabeberu kwa mikataba ya kimangungo hawastahili heshima yoyote, wahuni hawastahili heshima hata kidogo.Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778
Comments hii haiwezi toka Kwa mwanaume rijali
Huyo dogo mshamba sana
MaSnitch unawaaaminije,ila asiye snitch huna shaka yeyoteWewe kibaraka wa Marekani unawasha na nn?
vUkoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778
viongozi wa Afrika ni wafanyakazi wa mashirika ya Kijasusi ya magharibi hawapaswi kuaminikaUkoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778
Ila sii chawa tumbo ni chawa wa taifa lake na watu wake,hapo vipi?CHAWA WA PUTIN.
Ni chama wa tumbo lake na kakikundi kake ka mapinduzi.Ila sii chawa tumbo ni chawa wa taifa lake na watu wake,hapo vipi?
Wewe kibaraka wa mabeberu wa magharibi usimpangie kijana mzalendo wa nchi yake jinsi ya kuishi.Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.