The greater man
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 237
- 190
Hoja yako nini
Wewe jike la mashariki usinipangie cha kuandika.Wewe kibaraka wa mabeberu wa magharibi usimpangie kijana mzalendo wa nchi yake jinsi ya kuishi.
Urusi siyo beberu?Heshima ni kuheshimiana, Putin amempa Traore heshima kubwa sana hivyo na yeye anarudisha. Nyie hao viongozi wenu wa kiafrika wanaogawa raslimali za nchi zao kwa mabeberu kwa mikataba ya kimangungo hawastahili heshima yoyote, wahuni hawastahili heshima hata kidogo.
Kinachoniuma ni ccm kuamini bibi yule atawavusha kiuchumi,tumeshuka toka nafasi ya nne mpaka 12 ndani ya muda mfupi kisa chuki na uzandiki wa ccm,uchumi sio mipasho ni strategy.Ccm ni lini mtabadirika.Acha akili za Kiccm.
Traóre akiwa Ndani ya Nchi yake anafuata Mashariti yake mwenyewe.
Akiwa Kwa watu anafuata Mashariti ya watu.
Hata hivo, Wanayotaka kumuua Traore ni Waafrika haohao.
CCM mtakua mbumbumbu mpaka lini?
Mimi sijaungajuhudi,waungajuhudi wote,hawakatizi geti la kijani kabla ya kuvuliwa ubongo.Wewe hauna kabisa ubongo.
Wenzetu wa nchi nyingine kama vile hao Russia.Wenzetu wapi? Burkinafaso ugaidi umejaa kila kona
Ni ishara ya waafrika kutopendana,kutoheshimiana ndio maana hatuwezi kutatua migogoro yetu wenyewe.Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778
Naona mablack wa Venezuela na Urusi hapo.Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778
Putin ni kama mungu wake au baba yake kwasasaUkoloni gani wakati Kila Mtu ana favourite yake
sawa kabisaNaona mablack wa Venezuela na Urusi hapo.
View attachment 3331975
Hapo na Moduro
Hapa na Lavrov
View attachment 3331984
Nyie ni wakuuliwa kabisaUnawashwa eeeeh....
Kumbe na wewe ni msengee i mean ni shoga sorry?Huyo dogo mshamba sana
Jamaa ana mikwara kweli kweli...Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778
Ulitaka heshima anayompa Putin ndo ampe kikwete,Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778
Nitajie kiongozi mmoja wa Africa ambaye akiwaga nje ya bara hili anakuaga na full ulinzi kama akiwa nchini mwake, taja mmoja tu. Ukishindwa kumtaja, ondoa neno USHAMBA kwake then weka kwa marais wote wa black countries. Again, is Russia ndio waliomsaidia dogo kupindua or else, France wangekua wameisha fanya yao long time agoHuyo dogo mshamba sana
Siku nyingine usipoteze muda mwingi kuwajibu hao mashoga vibaraka wa magharibi, unawapa neno moja tu kisha unaachana naoNitajie kiongozi mmoja wa Africa ambaye akiwaga nje ya bara hili anakuaga na full ulinzi kama akiwa nchini mwake, taja mmoja tu. Ukishindwa kumtaja, ondoa neno USHAMBA kwake then weka kwa marais wote wa black countries. Again, is Russia ndio waliomsaidia dogo kupindua or else, France wangekua wameisha fanya yao long time ago
Hio maduro ni juzi hata wiki haijapita.Hi ni ziara ya kwanza mkutano na viongozi wa kiafrika uliofanyika urusi 2023.
Baada ya hiyo ziara alikosolewa sana, mwaka huu 2023 hakubeba siraha hadharani. Angalia video za tukio toka anakaribishwa na putin hana siraha.