CotterPin
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,395
- 5,011
Sawa TraóreHakuna AI pics hapo. Hizo picha zilipigwa wiki iliyopita wakati Maduro na Traore walivyokutana Urusi kwenye sherehe za Victory Day. Na zilitolewa na RT ndio wengine wakachukua.
Sawa TraóreHakuna AI pics hapo. Hizo picha zilipigwa wiki iliyopita wakati Maduro na Traore walivyokutana Urusi kwenye sherehe za Victory Day. Na zilitolewa na RT ndio wengine wakachukua.
Kumbe umekurupuka bila kujua context. Mimi nimeongelea kubeba siraha alipopokelewa na Putin mwaka huu. Lete ushahidi wa picha au video akiwa na Putin na awe na hiyo siraha yake.Wewe uliesema mwaka huu hajabeba silaha hadharani ndo utuambie alivyobeba silaha kule Ghana ilikuwa ni mwaka gani
na Hasa huyo alietumwa kupeleka bahasha na bi fatmav
viongozi wa Afrika ni wafanyakazi wa mashirika ya Kijasusi ya magharibi hawapaswi kuaminika
Mwenye ile picha ya kundi la Marais wa Afrika waliojazwa kwenye daladala moja kule Uingereza wakati wa msiba wa Malkia Elizabeth II/kuapishwa kwa Mfalme Charles wa Uingereza aniwekee hapa.
Kuna kitu nataka kujifunza.
Jeshi limeua raia 100+ so hakuna jipya hako ka dikteta kengine sema west watakakula kichwaKasanii tu
Wewe umeandika hapo juu kwamba mwaka huu hajabeba silaha kwa sababu alikosolewa alivyokuwa anabeba. Hajawahi kubeba silaha akiwa kwa Putin anabeba akiwa kwa hao wengine. Akiwa na Putin tu ndo habebi lakini akiwa na watu wengine anabebaKumbe umekurupuka bila kujua context. Mimi nimeongelea kubeba siraha alipopokelewa na Putin mwaka huu. Lete ushahidi wa picha au video akiwa na Putin na awe na hiyo siraha yake.
Uongo mwingine wa BBC eti jeshi limeua raia 100😂😂😂. Mbona enzi za Compaore raia walivyokuwa wanauwawa mabarabarani wakati wa maandamano BBC walikuwa hawasemi chochote. Kwa vile sasahivi aliyepo madarakani hawampendi wanajifanya wanawapenda sana raia wa Burkina Faso 😂😂Huu uongo wa BBC tushauzoea watafute mbinu mpya. Au kama vipi waripoti habari za Togo ambapo Rais kajiweka rais wa milele wiki iliyopita tu hapo au kule Cameroon yule mhenga aliyegoma kuachia madaraka hata kuongea vizuri hawezi. Ya Togo na Cameroon hawayaoni maana yanafanywa na vibaraka wao lakini ya Burkina Faso wanayainulia mashingo😂😂😂😂. Same scriptJeshi limeua raia 100+ so hakuna jipya hako ka dikteta kengine sema west watakakula kichwa
Waafrika wanaenda na mihemko ni rahisi sana kuwatawala.Jeshi limeua raia 100+ so hakuna jipya hako ka dikteta kengine sema west watakakula kichwa
Basi ungesoma vizuri comment yangu ya kwanza usingebisha. My point was, askiwa na Putin.Wewe umeandika hapo juu kwamba mwaka huu hajabeba silaha kwa sababu alikosolewa alivyokuwa anabeba. Hajawahi kubeba silaha akiwa kwa Putin anabeba akiwa kwa hao wengine. Akiwa na Putin tu ndo habebi lakini akiwa na watu wengine anabeba
Traore hajui KiswahiliSawa Traóre
Nashika Tu Baba huko kwingine simoPutin ni kama mungu wake au baba yake kwasasa
Lazima aweke heshima kwa baba ake
Umenena vyema kabisa, ila hapo uliposema waliendesha wenyewe ile YUTONG si kweli.Malkia Elizabeth alivyo fariki, marais wa Africa walipelekewa Youtong airport ya Heathrow tena bila dereva, waliendesha wenyewe hadi kwa malkia, same presidents wakiwa kwao wana misafara ya magari zaidi ya 50 na chopper angani; hilo hulioni isipokua kwa dogo Traore tu.
Viongozi wote wa Africa wakiwa nje ya bara hili, they feel more safe than when they are in their countries, kipi cha ajabu kwa Traore?
HahahaUkoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778