Hapo picha imepigwa kulia kwake hakuonekani Bastola inakaa kulia.View attachment 3332057
Picha nyingi ni AI.
Ukitaka kuamini kaangalie video ya hilo tukio.
baba-mwajuma
Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778
Katoka kubeba silaha juzi hapa alipoenda Russia kwenye Victory Day wewe hujaona? Mwezi wa kwanza alivyoenda kwenye uapisho wa Rais wa Ghana alibeba bastola hadharani tena mbele ya Marais wenzake wewe hujaona ? Alipompa Kikwete tano alikuwa na bastola tena inaonekana na hiyo nayo hujaona basi?Hi ni ziara ya kwanza mkutano na viongozi wa kiafrika uliofanyika urusi 2023.
Baada ya hiyo ziara alikosolewa sana, mwaka huu 2023 hakubeba siraha hadharani. Angalia video za tukio toka anakaribishwa na putin hana siraha.
Alivyoenda Urusi aliandaliwa chumba chenye picha yake ndo akakutana na huyo Maduro. Na pia kuna mikutano mingine alifanyia kwenye hicho chumba. Hapo ni UrusiNa hiyo picha ukutani, ana ofisi pale urusi sio?
Picha nyingi ni AI lakini sio zote. Halafu si kuna teknolojia ya kugundua kitu ambacho ni AI? Kama unahisi ni AI tumia teknolojia tambuzi ujiridhishe kwamba ni AIView attachment 3332057
Picha nyingi ni AI.
Ukitaka kuamini kaangalie video ya hilo tukio.
baba-mwajuma
Siyo mshamba,ila sisi waafrica bila kujali ni nani muda wowote anakuuzaHuyo dogo mshamba sana
Kwa hiyo kibastola kitamsaidia nini akiuzwa?Siyo mshamba,ila sisi waafrica bila kujali ni nani muda wowote anakuuza
Well said broSiku nyingine usipoteze muda mwingi kuwajibu hao mashoga vibaraka wa magharibi, unawapa neno moja tu kisha unaachana nao
Anaebisha ni huyo niliem quote, ndio maana nikamwambia aangalie video ziko tofauti na hizo AI pics.Picha nyingi ni AI lakini sio zote. Halafu si kuna teknolojia ya kugundua kitu ambacho ni AI? Kama unahisi ni AI tumia teknolojia tambuzi ujiridhishe kwamba ni AI
Ungeelewa nilichosema usingeuliza hayo maswali.Katoka kubeba silaha juzi hapa alipoenda Russia kwenye Victory Day wewe hujaona? Mwezi wa kwanza alivyoenda kwenye uapisho wa Rais wa Ghana alibeba bastola hadharani tena mbele ya Marais wenzake wewe hujaona ? Alipompa Kikwete tano alikuwa na bastola tena inaonekana na hiyo nayo hujaona basi?
😂😂😂😂😂Mwenye ile picha ya kundi la Marais wa Afrika waliojazwa kwenye daladala moja kule Uingereza wakati wa msiba wa Malkia Elizabeth II/kuapishwa kwa Mfalme Charles wa Uingereza aniwekee hapa.
Kuna kitu nataka kujifunza.
Wewe uliesema mwaka huu hajabeba silaha hadharani ndo utuambie alivyobeba silaha kule Ghana ilikuwa ni mwaka ganiUngeelewa nilichosema usingeuliza hayo maswali.
Hakuna AI pics hapo. Hizo picha zilipigwa wiki iliyopita wakati Maduro na Traore walivyokutana Urusi kwenye sherehe za Victory Day. Na zilitolewa na RT ndio wengine wakachukua.Anaebisha ni huyo niliem quote, ndio maana nikamwambia aangalie video ziko tofauti na hizo AI pics.
Kasanii tuHaka kajamaa mimi sikakubali hata kidogo