Wewe mwenyewe hapo hauwaamini viongozi wako, halafu unategemea Traore awaamini🤣🤣🤣. Huo utakuwa uanaharakati uchwara ,usioendana na uhalisia. Jirani wa Burkina Faso ni vibaraka lia lia wa Ufaransa ambao wako tayari hata kuua raia wao waliowachagua ili kumfurahisha bwana wao Macron. Kwa hali hiyo Traore kukaa bila mshirika mwenye nguvu kama Putin itakuwa uanaharakati uchwara mwingine tena ujinga wa kiwango cha lami. Kuna uhalisia halafu kuna uanaharakati, tunapoongelea suala la Traore tusisahau hilo.