SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Wewe kibaraka wa mabeberu wa magharibi usimpangie kijana mzalendo wa nchi yake jinsi ya kuishi.Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778
Ishia kutotumia akili na ubongoNi chama wa tumbo lake na kakikundi kake ka mapinduzi.
Maduro,Asad,Traore vyawa wa Putin.
Hata mimi nisingemwamini mwafrika yeyote,maana viongozi wengi waafrika wazalendo walisalitiwa na waafrika wenzao,, halafu Traore Putin ni mahitaji wake au nae beberu?Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778
Wewe hauna kabisa ubongo.Ishia kutotumia akili na ubongo
Mwenye ile picha ya kundi la Marais wa Afrika waliojazwa kwenye daladala moja kule Uingereza wakati wa msiba wa Malkia Elizabeth II/kuapishwa kwa Mfalme Charles wa Uingereza aniwekee hapa.
Kuna kitu nataka kujifunza.

Wenzetu wako sensitive sana na usalama, hawamuamini mtu.Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin.
Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana Ulaya,Marekani au Uarabuni. Hakuna.
View attachment 3331777View attachment 3331778
Wenzetu wapi? Burkinafaso ugaidi umejaa kila konaWenzetu wako sensitive sana na usalama, hawamuamini mtu.
Vv
Wewe uko Burkina Faso au unabeba kila neno linalosemwa na BBC?🤣🤣😂😂. Kaangalie hata vlog ya Wode Maya kuhusu Burkina Faso ina siku tatu tu tangu aiweke YouTube. Angalau upunguze hizo propaganda ulizojazwa na vyombo vya habari vya wakoloniWenzetu wapi? Burkinafaso ugaidi umejaa kila kona
Ana ushamba mwingi sana.Huyo dogo mshamba sana
Sasa wewe mbona hujaachia mwenyewe? Ungeonesha mfano hata kwenye uzi ungeuacha mwenyewe.
Hao si unawajua mchelemchele....Comments hii haiwezi toka Kwa mwanaume rijali
Ukimkubali wewe inatosha.🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu punguza makasiriko. We mkubali tu mwamba. Ndio icon ya Africa kwa sasa.