Ibrahim Traore akikutana na Putin na akikutana na waafrika wenzie

Urusi siyo beberu?
 
Hapo Kuna raisi mstaafu, na raisi aliyeko madarakani, hivo protocol za kiulinzi lazima zitofautiane
 
Acha akili za Kiccm.

Traóre akiwa Ndani ya Nchi yake anafuata Mashariti yake mwenyewe.


Akiwa Kwa watu anafuata Mashariti ya watu.


Hata hivo, Wanayotaka kumuua Traore ni Waafrika haohao.


CCM mtakua mbumbumbu mpaka lini?
Kinachoniuma ni ccm kuamini bibi yule atawavusha kiuchumi,tumeshuka toka nafasi ya nne mpaka 12 ndani ya muda mfupi kisa chuki na uzandiki wa ccm,uchumi sio mipasho ni strategy.Ccm ni lini mtabadirika.
Hivi kweli mnakubali bibi akodishe Bandari huku mnamuona na sasa Hana jipya barabara zinaongezeka mashimo ukifika igawa kwenda Mbeya mora saidi kila Kona kutoka singida hadi shinyanga barabara Ile ni nyembamba mno,ukija mikumi barabara imejaa mahandaki ukiwa chalinze kwenda pwani ni Mungu nisaidie,hivi ba ndugu mnajua bei ya Ufuta imeshuka kwa asilimia 50% na bado Polisi hawaoni kuwa wnapandikiza chuki kwa raia.
 
Ni ishara ya waafrika kutopendana,kutoheshimiana ndio maana hatuwezi kutatua migogoro yetu wenyewe.
 
Naona mablack wa Venezuela na Urusi hapo.

Hapo na Moduro


Hapa na Lavrov
 
Mi Africa chuki vijiba vya roho wanga ulozi....roho mbaya chuki husda tena kwa mwenzao wa damu ndo kawaida yao
 
Malkia Elizabeth alivyo fariki, marais wa Africa walipelekewa Youtong airport ya Heathrow tena bila dereva, waliendesha wenyewe hadi kwa malkia, same presidents wakiwa kwao wana misafara ya magari zaidi ya 50 na chopper angani; hilo hulioni isipokua kwa dogo Traore tu.
Viongozi wote wa Africa wakiwa nje ya bara hili, they feel more safe than when they are in their countries, kipi cha ajabu kwa Traore?
 
Jamaa ana mikwara kweli kweli...
 
Ulitaka heshima anayompa Putin ndo ampe kikwete,
Heshima unayompa mama yako sio unayompa barmaid
Na bunduki yanini akiwa russia wakati kuna ulinzi wa kutosha na ndio wanaomlinda
 
Huyo dogo mshamba sana
Nitajie kiongozi mmoja wa Africa ambaye akiwaga nje ya bara hili anakuaga na full ulinzi kama akiwa nchini mwake, taja mmoja tu. Ukishindwa kumtaja, ondoa neno USHAMBA kwake then weka kwa marais wote wa black countries. Again, is Russia ndio waliomsaidia dogo kupindua or else, France wangekua wameisha fanya yao long time ago
 
Siku nyingine usipoteze muda mwingi kuwajibu hao mashoga vibaraka wa magharibi, unawapa neno moja tu kisha unaachana nao
 
Hi ni ziara ya kwanza mkutano na viongozi wa kiafrika uliofanyika urusi 2023.
Baada ya hiyo ziara alikosolewa sana, mwaka huu 2023 hakubeba siraha hadharani. Angalia video za tukio toka anakaribishwa na putin hana siraha.
Hio maduro ni juzi hata wiki haijapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…