Ibrahim Traore akikutana na Putin na akikutana na waafrika wenzie

Hakuna AI pics hapo. Hizo picha zilipigwa wiki iliyopita wakati Maduro na Traore walivyokutana Urusi kwenye sherehe za Victory Day. Na zilitolewa na RT ndio wengine wakachukua.
Sawa Traóre
 
Wewe uliesema mwaka huu hajabeba silaha hadharani ndo utuambie alivyobeba silaha kule Ghana ilikuwa ni mwaka gani
Kumbe umekurupuka bila kujua context. Mimi nimeongelea kubeba siraha alipopokelewa na Putin mwaka huu. Lete ushahidi wa picha au video akiwa na Putin na awe na hiyo siraha yake.
 
Mwenye ile picha ya kundi la Marais wa Afrika waliojazwa kwenye daladala moja kule Uingereza wakati wa msiba wa Malkia Elizabeth II/kuapishwa kwa Mfalme Charles wa Uingereza aniwekee hapa.

Kuna kitu nataka kujifunza.
 

Attachments

  • Screenshot_20250513_142055_Opera Mini.jpg
    153.9 KB · Views: 10
Kumbe umekurupuka bila kujua context. Mimi nimeongelea kubeba siraha alipopokelewa na Putin mwaka huu. Lete ushahidi wa picha au video akiwa na Putin na awe na hiyo siraha yake.
Wewe umeandika hapo juu kwamba mwaka huu hajabeba silaha kwa sababu alikosolewa alivyokuwa anabeba. Hajawahi kubeba silaha akiwa kwa Putin anabeba akiwa kwa hao wengine. Akiwa na Putin tu ndo habebi lakini akiwa na watu wengine anabeba
 
Jeshi limeua raia 100+ so hakuna jipya hako ka dikteta kengine sema west watakakula kichwa
Uongo mwingine wa BBC eti jeshi limeua raia 100😂😂😂. Mbona enzi za Compaore raia walivyokuwa wanauwawa mabarabarani wakati wa maandamano BBC walikuwa hawasemi chochote. Kwa vile sasahivi aliyepo madarakani hawampendi wanajifanya wanawapenda sana raia wa Burkina Faso 😂😂Huu uongo wa BBC tushauzoea watafute mbinu mpya. Au kama vipi waripoti habari za Togo ambapo Rais kajiweka rais wa milele wiki iliyopita tu hapo au kule Cameroon yule mhenga aliyegoma kuachia madaraka hata kuongea vizuri hawezi. Ya Togo na Cameroon hawayaoni maana yanafanywa na vibaraka wao lakini ya Burkina Faso wanayainulia mashingo😂😂😂😂. Same script
 
Wewe umeandika hapo juu kwamba mwaka huu hajabeba silaha kwa sababu alikosolewa alivyokuwa anabeba. Hajawahi kubeba silaha akiwa kwa Putin anabeba akiwa kwa hao wengine. Akiwa na Putin tu ndo habebi lakini akiwa na watu wengine anabeba
Basi ungesoma vizuri comment yangu ya kwanza usingebisha. My point was, askiwa na Putin.
 
Hapo kwa Putin Kijana Traore Ametumia Sheria Inayosema Never Outshine Your Master. Yupo Sahihi Kabisa. Wewe Endelea kubwata tu huku jf Nisawa na kuongea na mzee wako ukiwa umeshika kiuno
 
Umenena vyema kabisa, ila hapo uliposema waliendesha wenyewe ile YUTONG si kweli.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…