Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini.
Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya majadiliano na wamama wakulima. Ameshusha mishahara ya wanasiasa na kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa chini wakiwemo walimu.
Baada ya wanasiasa kuonekana kutoridhika na kushushiwa mishahara amewafuta kazi na kuwapa wanajeshi kazi katika baraza la mawaziri. Amefuta mpango wa manunuzi ya magari ya kifahari na sasa wanasiasa wananunua gari za kawaida kabisa zisizotumia umeme.
Kama haya yamefanyika Burkinafaso penye makundi ya uhalifu kwanini Tanzania na nchi za Afrika zinapendelea kuishi kwa misaada? Hii misaada itatupa uhuru?

Afrika hela zipo tatizo ni vipaumbele vyetu tu. China ubunge ni kazi ya kujitolea, wabunge wanalipiwa usafiri wa go and return na posho ya malazi kipindi cha mikutano ya bunge. Mikutano ikiisha wanarudi mtaani kuendelea na shughuli zao za kuwaingizia kipato.
Hapa kwetu tuna wabunge 390 wapo kwenye payroll ya serikali na kila mmoja anakunja kiinua mgongo cha milioni 200 baada ya miaka mitano. Halafu bila aibu tunaenda china kuomba misaada

Mapato ya mbunge mmoja kwa miaka mitano Tanzania ukiweka posho, mshahara, na kila kitu anapata bilioni moja isiyo na makato, anakua na hati ya kusafiria yenye hadhi ya kidiplomasia, bima ya afya ya hadhi ya juu yeye na familia yake , anakua na access ya kujitealia tenda mbalimbali zenye fedha nyingi kwenye taasisi nabmashirika ya umma,
Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini.
Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya majadiliano na wamama wakulima. Ameshusha mishahara ya wanasiasa na kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa chini wakiwemo walimu.
Baada ya wanasiasa kuonekana kutoridhika na kushushiwa mishahara amewafuta kazi na kuwapa wanajeshi kazi katika baraza la mawaziri. Amefuta mpango wa manunuzi ya magari ya kifahari na sasa wanasiasa wananunua gari za kawaida kabisa zisizotumia umeme.
Kama haya yamefanyika Burkinafaso penye makundi ya uhalifu kwanini Tanzania na nchi za Afrika zinapendelea kuishi kwa misaada? Hii misaada itatupa uhuru?
Ingawa masikini wote na ombaomba mnapewa misaada, lakini wapo wanaowajali watu wao kwa hiyo misaada.
Na yapo majizi yanayokula hizo pesa bila kujali watu wake
Huyu kijana kaamua hizo za misaada na bajeti ya nchi kuitumia vizuri
Wanaweza kuacha kuwa tengemezi kwa asilimia kubwa sana
Amepunguza mishahara kwa viongozi wakubwa na kuwaongezea wafanyakazi
Kama na sisi hela za misaada ambazo wanatufanya wajinga na kusema ni misaada ya kujengea vyoo tu, basi tutaendelea kuwa masikini miaka 200 ijayo
Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini.
Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya majadiliano na wamama wakulima. Ameshusha mishahara ya wanasiasa na kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa chini wakiwemo walimu.
Baada ya wanasiasa kuonekana kutoridhika na kushushiwa mishahara amewafuta kazi na kuwapa wanajeshi kazi katika baraza la mawaziri. Amefuta mpango wa manunuzi ya magari ya kifahari na sasa wanasiasa wananunua gari za kawaida kabisa zisizotumia umeme.
Kama haya yamefanyika Burkinafaso penye makundi ya uhalifu kwanini Tanzania na nchi za Afrika zinapendelea kuishi kwa misaada? Hii misaada itatupa uhuru?
Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini.
Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya majadiliano na wamama wakulima. Ameshusha mishahara ya wanasiasa na kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa chini wakiwemo walimu.
Baada ya wanasiasa kuonekana kutoridhika na kushushiwa mishahara amewafuta kazi na kuwapa wanajeshi kazi katika baraza la mawaziri. Amefuta mpango wa manunuzi ya magari ya kifahari na sasa wanasiasa wananunua gari za kawaida kabisa zisizotumia umeme.
Kama haya yamefanyika Burkinafaso penye makundi ya uhalifu kwanini Tanzania na nchi za Afrika zinapendelea kuishi kwa misaada? Hii misaada itatupa uhuru?
Licha ya hayo yote bado ataonekana ni kiongozi katili ambae anachuki na matajiri pamoja na hao wanasiasa aliowatimua kazi ili aajiri wanajeshi😅😅😅, na akikufa kuna watu watafanya sherehe ya kukunywa bia na vyuku.
Magufuri kakaa madarakani miaka 6 mbona hakupunguza matumizi ya anasa kwa viongozi?
Mbona hakupunguza mishaara ya wabunge ,mawaziri, na maafisa wakuu wa serikali?
Mbona hakuanzisha sheria ya viongozi kulipa kodi kwenye mishaara yao?
Mbona hakupiga marufuku utamaduni wa viongozi kutembea na rundo ya magari?
Mbona hakusitisha manunuzi ya V8 ?
Kipindi chake si ndo akina Makonda walijipatia utajiri wa ghafla usio julikana wameupata kwa njia gani?
Kipindi chake si ndo wanasiasa wa mpinzani walipatia mabilion ya pesa kupitia ununuzi wa wapinzani kuunga mkono juhudi?
Chini ya utawala wake CAG alifichua upotevu wa tilion 1.5 badala ampongeze kwa kufichua ufisadi yeye akamfukuza tena kwa dhihaka na kejeli.
Sasa unamlinganisha Magufuri na huyo dogo kwa lipi hasa?
Nyinyi wafuasi wa jiwe mnamatatizo.
Magufuri alikaa madarakani miaka 6,mbona hakupunguza mishaara ya kufuru ya wabunge ,mawaziri na maofisa wengine wa serikali?
Mbona hakuweka sheria ya mishaara ya viongozi kukatwa kodi?
Mbona hakusitisha ununuzi wa Mav8?
Mbona hakukataza misafara ya viongozi?
Kwanini alimfukuza CAG aliye fichua upotevu wa pesa za uma wa trion1.5?
Kwa nini alikuwa anachota pesa za walipa kodi wa Tz anaenda kuwahonga viongozi wa upinzani ili wahamie ccm?
Sasa huo uadilifu wa Magufuri ulikuwa wapi?
Magufuri miaka 5 tu lakin
Ndege kama zote
Bwawa la umeme kubwa Dunia nzima
Umeme haukukatika
Tren ya umeme ya bibabe sana
Kujenga ikulu ya kibabe sana
Kuhamisha makao makuu kibabe sana
Fly over za kibabe sana
Madaraja makubwa ya kibabe sana
Huduma nzuri kwenye taasisi za serikali, ulikuwa ukifika unahudumiwa kama MFALME leo hii ukifika unaonekana kama panya tu