Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore amewasili mjini Moscow nchini Urusi leo tarehe 8 Mei 2025.
Kapteni Traore ni miongoni mwa viongozi walioalikwa nchini Urusi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi walioupata Urusi dhidi ya wanazi kutoka nchini Ujerumani.
Tangu aingie madarakani mwaka 2022, Kapteni Ibrahim Traore amekuwa na mahusiano ya karibu na nchi ya Urusi.