wewe hata sijui tukujibuje.so sadMwajuma kabadilisha bwana katoka kwa mfaransa kaenda mrusi.
bacheleor ya geology na military science unasema ndogo? hiv tz hiz research zetu za chatgpt na kudesa nisiseme meng. we hata references WikipediaTraore ana elimu ndogo Lakini akili yake Ina GB kubwa. Sio kama Hawa wanaokariri vitabu na kichwani hamna kitu.
SahihiMwajuma kabadilisha bwana katoka kwa mfaransa kaenda mrusi.
Ana watoto watatu mpk sasaAna ndoa kweli ajitahidi kuzaa mapema sio kwa kukosa kosa huku
Waafrika hatuaminiki kumsaliti mwenzetu ni dakika sifuri. Angekua mzembe kama angemfukuza mfaransa halafu akae bila msaada wa nje. Kuna kipindi inatakiwa tukubaliane na uhalisia uliopo.Mwajuma kabadilisha bwana katoka kwa mfaransa kaenda kwa mrusi.
Ushawishi wa Urusi barani Afrika unaongezeka kwa kuzingatia kwamba Traore ana ushawishi mkubwa barani Afrika hasa kwa vijana.Bila shaka Putin (Russia) kuna kitu kikubwa anapata kwa Traore (Burkina Faso)
Nitajie nchi moja duniani ilio endelea kwa kuanza na freedom au demokrasia, mention just 1 country in the worldMaendeleo bila freedom ni Ubatili mzee
Ana mnyoosha tu France na France ana nyooka hasaBila shaka Putin (Russia) kuna kitu kikubwa anapata kwa Traore (Burkina Faso)
Na sisi tumeshiriki kumbu kumbu hiinchini Urusi leo tarehe 8 Mei 2025