Ibrahim Traore awasili Moscow-Urusi kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi dhidi ya Wanazi

Strong ladg

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
1,357
Reaction score
3,114
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore amewasili mjini Moscow nchini Urusi leo tarehe 8 Mei 2025.

Kapteni Traore ni miongoni mwa viongozi walioalikwa nchini Urusi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi walioupata Urusi dhidi ya wanazi kutoka nchini Ujerumani.

Tangu aingie madarakani mwaka 2022, Kapteni Ibrahim Traore amekuwa na mahusiano ya karibu na nchi ya Urusi.


 
Ana ndoa kweli ajitahidi kuzaa mapema sio kwa kukosa kosa huku
 
Kwa mualiko maalumu wa Rais Vladimir Putin , Captain Ibrahim Traore Rais wa Burkina faso amewasili salama Moscow nchini Urusi tayari kuhudhuria kumbukumbu ya siku ya ushindi wa jeshi la Urusi dhidi ya utawala wa kinazi wa Ujerumani








Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…