Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Kwa Afrika kiongozi ambaye sio dikiteta ana utofauti gani na kiongozi wa kidemokrasia? impact ya hao viongozi wa kidemokrasia katika jamii zao ni ipi hasa maana sote tunaona maisha ya watu kiuchumi bado ni hovyo,watu wanauwaa na mambo mengi kwa jina la democracy.Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.
Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.
View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN
Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.
Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?
YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!
Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.
Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?
MK254
Kwann unatumia nguvu kubwa kumponda traore kwann hio nguvu usitumie pia kuwaponda wanasiasa wabadhilifu walio wengi huku africaLakini kuhusu huyo Traore ni Waafrika wengi sana wanaoamini mambo ya uongo kuhusu yeye!
Akili za Waafrika ni duni sana aisee.
Wodemaya huyo.Hiki kijamaa chenye mashavu kama kinapuliza moto wa kuni ndio kinaongoza propoganda za uongo za kumpamba Ibrah Traore mtandaoni
Rais mwenye kupewa uzito Afrika kwa sasa ni Traore tu. Haya maoni yako na ya wengine hayatabadili chochote kwenye heshima (na uzito) anayoipata afrika na nje ya afrika.Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.
Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.
View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN
Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.
Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?
YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!
Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.
Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?
MK254
Sio wote wanaojua historia na Taifa hilo kwa ujumlaSo issue ni watu kuuwawa ama??,wafuatuliaji wote wa mambo wanajua kuna vita vinaendelea kaskazini mwa nchi hiyo na ni ugaidi uliosababisha na mataifa ya magharibi hasa Ufaransa hilo lipo wazi.
Sio tu Afrika, Hitler kaongoza ujerumani kwa miaka 12, Mao ze Dong katawala kwa miaka zaidi ya 20 na huyo Trump anataka aongeze muhula wa tatu.Kwa waafrika ni shida kubwa sana mtu kuachia ngazi kwa hiari na nina hakika hata huyo Traore ni walewale wa kung'ang'ania madaraka.
Wewe ambaye siyo kilaza umesaidiaje Africa? Au vile uko us ushakuwa mzungu?Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.
Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.
View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN
Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.
Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?
YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!
Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.
Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?
MK254
Mkuu hiyo siyo story,mzigo umeshaanza kitambo hata ukitaka nikutumie ushahidi wavideoz usiwaze .
Jealous down,dogo anajitahidi wazee
Kila kukicha serikali yake inaibuka na madai "wamezima jaribio la mapinduzi"Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.
Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.
View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN
Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.
Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?
YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!
Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.
Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?
MK254
💥Kuna dictator mzalendo na dictator asiye mzalendo.Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?