Sijui kwa nini hakuja Dar kwenye mkutano wa Nishati..Bila shaka sasa aliyerithi nyota yake ya propoganda ni huyu kijana wa Burkina Faso, Ibrahim Traore. Kuna ujinga mwingi sana Africa.
Kipindi unadai hizo zilikua propaganda huandikii uhalisia uliokuwepo nayo inakua propaganda.Hizi ndio propaganda Gaddafi alizofanikiwa kusambaza Africa nzima.
Anajua vitu Waafrika wengiSijui kwa nini hakuja Dar kwenye mkutano wa Nishati..
Majuzi tu alienda Ghana kuhudhuria uapisho wa rais mpya, mavazi yake na security detail yake ilikuwa comedy tosha.
Kavaa magwanda, 'mguu wa. kuku' kiunoni, upanga pajani na walinzi kibao waliovaa magwanda, kana kwamba kwenye sherehe ya kuapisha rais jijini Accra hakuna ulinzi
Libya ya leo iko kama IlejeVipi Libya ya sasa na ile ya Gaddafi ziko sawa?
Naomba unisaidie tag (@) yake ya X (Twitter) maana kila nikiitafuta nakutana na fakes tu!
Kila mmoja anataka aupate u-Qaddafi mpya.Nchi itatulia kweli hapo?Hakuna kitu hatari zaidi kama kumuonjesha na kumsogeza askari kwenye uongozi ambao fedha zipo usawa wa pua.Akinogewa atagoma kupisha wengine waongoze kiraia.Hapo ndipo utajua afe nani aachwe nani maana yake ni nini!Vipi Libya ya sasa na ile ya Gaddafi ziko sawa?