Tanzania huwa hawaruhusu watu wenye drama za kisanii kwenye mambo ya Ulinzi na Usalama.
Baada ya mkutano uliofanyika wa South Afrika miaka ile enzi Mkapa ni alipokuwa madarakani, Ghaddaf alipanga kutoka South Africa hadi Libya kwa barabara.
Huko njiani katika kila nchi aliyooita, alikuwa akigawa hela kwa wananchi waliojipanga barabarani kumuona, huku kila wanapopita waki jam mawasiliano.
Msafara wake kwa njia ya barabara ukaendelea hadi kufika Malawi, safai ikaishia hapo. Tanzania haikuruhusu ule msafari kwa namna walivyojipangia.
Ikabidi Ghadaf achukuliwe na ndege, msafara wake ukaelekezwa Mozambique, huko ukapakiwa kwenye meli kurudi kwao Libya.
HIvyo hata huyu dogo mwenye balehe anayejiona 'Komando Joni', yeye pia security strategies and frameworks zake zimekataliwa na wenyeji, hivyo akaona ni bra kutokwenda.