Ibrahim Traore ni Gaddafi mpya wa Afrika?

Ibrahim Traore ni Gaddafi mpya wa Afrika?

Sijui kwa nini hakuja Dar kwenye mkutano wa Nishati..

Majuzi tu alienda Ghana kuhudhuria uapisho wa rais mpya, mavazi yake na security detail yake ilikuwa comedy tosha.

Kavaa magwanda, 'mguu wa. kuku' kiunoni, upanga pajani na walinzi kibao waliovaa magwanda, kana kwamba kwenye sherehe ya kuapisha rais jijini Accra hakuna ulinzi
Ana utoto mwingi sana, cha ajabu zai ni kwamba ameingia kwa kupindua serikali hala kwa Tanzania anashangiliwa zaidi na UVCCM hadi picha zake wameziweka kwenye profiles zao.
 
Sijui kwa nini hakuja Dar kwenye mkutano wa Nishati..

Majuzi tu alienda Ghana kuhudhuria uapisho wa rais mpya, mavazi yake na security detail yake ilikuwa comedy tosha.

Kavaa magwanda, 'mguu wa. kuku' kiunoni, upanga pajani na walinzi kibao waliovaa magwanda, kana kwamba kwenye sherehe ya kuapisha rais jijini Accra hakuna ulinzi.

Halafu mikononi kavaa gloves, anasalimia watu kwa kugonganisha ngumi tu..

View: https://youtu.be/schsRA5aFoc?si=CYvJQnd722Bd9rdg


Janja bado ana hangover ya Lindo.

Bakabaka bado halijamtoka akilini
 
Kikwete aliuza rasilimali gani za Tanzania?
Uhuru aliuza rasilimali gani za Kenya?
Kikwete aliuza gesi yote ya lindi na mtwara

Aliingia mikataba mingi ya wizi wa rasilimali za taifa lake na makampuni ya kimataifa
 
Nimeishi libya mwaka 1 na nusu.. enzi za gadaf kipindi ambacho J.Kikwete akiwa rais.. Mleta mada mambo ambayo huyaelewi bora ukapita kimya kimya
Ukosefu wa ajira (unemployment) Libya ulikuwa wa kiwango gani wakati wa Gaddafi ?
 
Vipi Libya ya sasa na ile ya Gaddafi ziko sawa?

LIBYA ILIKUWA INAENDA KUWA FIRST CLASS COUNTRY
Ada bure kuanzia primary hadi university, matibabu bure, mafuta ya petrol/diesel robo dola kwa lita, usafiri bei rahisi, vijana wasio kuwa na ajira walipewa hela ya kujikimu, Duty free shops....
Kosa la Gadafi likawa kutaka kuunganisha Africa; mabeberu walivyo ona akiunganisha Africa na kuwatoa usingizini .....watakosa raslimali za viwanda vyao; wakaona wamtengenezee zengwe kuwa ni gaidi na Anamiliki Nuclear...BILA USHAHIDI WOWOTE!
Vijana wa Kiafrica walivyo rahisi kuwa manipulate wakahamasishwa na kupewa silaha ili wapigane.....
Sasa hivi wanalia na kusaga meno....
 
Back
Top Bottom