ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

Mlihangaika hivihivi na uchaguzi mkashindwa, mkahangaika tena hivihivi kuingiza watu barabarani mkashindwa sasa endeleeni kuhangaika na ICC
Hakuna hata kimoja wapinzani wameshindwa vyote wameweza kura wamepata CCM ikawapora ushindi na pia CCM imetumia vyombo vya dola kuzuia maandamano
 
Ukituma lazima ipokelewe, tatizo itafanyiwa kazi?
 
Mm Mmojawapo COMMUNICATIONS nikajua MAWASILIANO km yale ya ICT
 
Vitendo vilivyotokea havina uzito wa kuingiliwa na mahakama za kimataifa - ni migogoro midogo iwezayo kumalizwa na mahakama za ndani ya nchi
Uhai wa mtu unasema ni kesi ndogo? Kweli damu za watu zimeanza kuwalevya
 
Ni mwanzo mzuri kwa taifa letu. Hongera sana ACT and Sarungi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…