Uchaguzi wa Kenya na machafuko yale ya wazi wazi akina Ruto na Kenyata kesi ikaota mbawa, ifikie mda viongozi wa chama wawe responsible na mambo wanayo yafanya, kiufupi upinzani bara ulijifia 2015.Kuna wajinga humu wanadanganyana hiyo mahakama haiwezi kuwashughulikia watesi wetu, waacheni waendelee kudanganyana.
Wajue fika watapandishwa kizimbani hata kama ni baada ya miaka kumi, kuwa kwao madarakani sasa hivi kusiwadanganye, hiyo siku yaja, watavuna walichopanda.
ICC hawapokei na kushighulikia barua za individualsJe, wataingilia Kati kweli au Ni blur blur blur tu
Yes, ipo kona zote za nchikuna mahakama hapa inaweza kushughurikia hivyo vitendo?
Kumbe kulikuwa hakujakucha huko kwenu?Kumekucha aise.
Ndiyo mkuu, ulidhani dunia nzima ikianza asubuhi basi kote ni asubuhi?Kumbe kulikuwa hakujakucha huko kwenu?
Nilikuwa sijui mkuu. Kwani huko kwenu sasa ni saa ngapi? Hapa ni saa nne asubuhi!Ndiyo mkuu, ulidhani dunia nzima ikianza asubuhi basi kote ni asubuhi?
Kwingine mchana kwingine usiku.
Dua la kuku halimpati mwewe.Kuna wajinga humu wanadanganyana hiyo mahakama haiwezi kuwashughulikia watesi wetu, waacheni waendelee kudanganyana.
Wajue fika watapandishwa kizimbani hata kama ni baada ya miaka kumi, kuwa kwao madarakani sasa hivi kusiwadanganye, hiyo siku yaja, watavuna walichopanda.
Wengi mnapiga kelele kujitutumua kwenye hii issue lakini nawaona mnahangaika tu.Utasubiri Sana brother, nenda kasome vizuri jurisdiction ya hiyo Mahakama and under what curcumstances inaweza ku assume Majukumuu ambayo kimsingi yanapaswa kushughulikiwa na Nchi huska. By the way, hizi ni porojo na Namna ya kujicomfort baada ya kipigo cha Mbwa Koko.
Vitu vingine viko wazi. Take your time, Isomeke hiyo Mahakama, Soma crimes it has jurisdiction to try and kwa Mazingira gani inaweza ku intervene.
Mwisho kabisa, hii Mahakama imeshapoteza Credibility siku nyingi Sana, it is more or less like other Imperialism Machinery and every one's knows that!
Otherwise, endeleni kujifafiji Kama Kawaida yenu!
Na ni nani huyo hakimu shujaa atakae wahukumu wamfurahishao mfalme? Yeye hataki ujaji?Yes, ipo kona zote za nchi
Sheria ipi inayosema hivyo? tuwekee hapa tuione. Usiwadanganye wajinga wenzio, kama wangekuwa hawapokei, wasingekiri wameshapokea.ICC hawapokei na kushighulikia barua za individuals
Zitto kaandika peke yake akiwa kajifungia ndani na Maria Sarungi naye kajiandikia peke yake !!!
Huna ujualo, wacha kupiga porojo hapa, weka sheria tuisome.Hawaelewi vitu hivyo huwa confidential kwanza wao wakaenda vyombo vya habari pili barua zimeandikwa na individuals sio taasisi!!!
Mfano Zitto Kabwe kaandika yeye Kama yeye Hakuna kikao chochote Cha chama iwe mkutano mkuu ulioamua yeye kajilalia kaamka kaandika
Maria Sarungi hakuwa hata mgombea udiwani Wala ubunge kajiiibukia tu
Ndio maana unaona wamejibu kuwa wanaangalia approriateness ya hicho kilichokuwa submitted Kama kimekidhi vigezo ila kwa haraka nikusaidia havijakidhi vigezo
Wanaotaka kupeleka mashtaka ICC kwanza Ni member countries wa ICC pili UN waweza peleka tatu maofisa wa ICC wenyewe
Na waweza shughulikia kesi zile tu haziko mahakama ya nchi husika mfano watu wamekamatwa kwa makosa unayoyasema wameshikwa ICC haiingilii hizo kesi sababu tayari ziko mikononi mwa vyombo vya sheria vya nchi mwanachama
Kazi ya ICC Ni mwiko kuingilia kolicho mikononi mwa sheria mwa nchi mwanachama mfano Kuna jitu gaidi limedakwa wewe unakimbilia ICC kuwa lile Ni political prisoner hawakusikilizi.wataachia nchi mwanachama wa ICC wamalizane nalo kwanza
Tunatagemea kupata uhuru na haki Kwa kila Mtanzania, sio kwa kikundi cha Watu tu.Mnategemea kupata ushindi siyo??!
Mkuu tupe kidogo insight ya hii Rome Statute. Ni makosa gani au ya aina gani ICC wanashughulika nayo. Itasaidia sana kufunga huu mjadalaUtasubiri Sana brother, nenda kasome vizuri jurisdiction ya hiyo Mahakama and under what curcumstances inaweza ku assume Majukumuu ambayo kimsingi yanapaswa kushughulikiwa na Nchi huska. By the way, hizi ni porojo na Namna ya kujicomfort baada ya kipigo cha Mbwa Koko.
Vitu vingine viko wazi. Take your time, Isomeke hiyo Mahakama, Soma crimes it has jurisdiction to try and kwa Mazingira gani inaweza ku intervene.
Mwisho kabisa, hii Mahakama imeshapoteza Credibility siku nyingi Sana, it is more or less like other Imperialism Machinery and every one's knows that!
Otherwise, endeleni kujifafiji Kama Kawaida yenu!
Watu wanaangalia ushahidi uliowasilishwa mezani unaowatia hatiani, hii hoja yako ya "kidunia" ni ya hovyo kabisa.Ukiangalia hili suala kwa mtazamo wa kitanzania utaona serikali ipo matatani lakini ukiangalia kwa mtazamo wa kidunia Tanzania haipo hata top 10 kwenyenchi zinazovunja haki za binadamu. Hii kesi itakuwa upuuzi mtupu. Tanzania inahitaji chama mbadala chenye watu wenye akili ya maendeleo na siyo utoto.
Saa 1 asubuhi.Nilikuwa sijui mkuu. Kwani huko kwenu sasa ni saa ngapi? Hapa ni saa nne asubuhi!