Hakuna demokrasia isiyo na mipaka dogo hapa duniani!! Hapa USA ambako wameanza kupratise demokrasi miaka mingi lakini bado wanalalamika tu. Trump na group lake baada ya kushindwa naye analalamika kuwa hakuna demokrasia kwenye uchaguzi uliyopita!Wanatagemea kupata uhuru na hall Kwa kila Mtanzania,sio kwa kikundi cha Watu tu..
Wanategemea siku moja Tanzania itakuwa nchi yenye Demokrasia ya kweli inayoheshimu Sheria na haki za Binaadamu
Usiwe naiveWatu wanaangalia ushahidi uliowasilishwa mezani unaowatia hatiani, hii hoja yako ya "kidunia" ni ya hovyo kabisa.
Aim For The Moon, If You Miss, You May Land Among The Stars.Hawaelewi vitu hivyo huwa confidential kwanza wao wakaenda vyombo vya habari pili barua zimeandikwa na individuals sio taasisi!!!
Mfano Zitto Kabwe kaandika yeye Kama yeye Hakuna kikao chochote Cha chama iwe mkutano mkuu ulioamua yeye kajilalia kaamka kaandika.
Maria Sarungi hakuwa hata mgombea udiwani Wala ubunge kajiiibukia tu.
Ndio maana unaona wamejibu kuwa wanaangalia approriateness ya hicho kilichokuwa submitted Kama kimekidhi vigezo ila kwa haraka nikusaidia havijakidhi vigezo.
Wanaotaka kupeleka mashtaka ICC kwanza Ni member countries wa ICC pili UN waweza peleka tatu maofisa wa ICC wenyewe.
Na waweza shughulikia kesi zile tu haziko mahakama ya nchi husika mfano watu wamekamatwa kwa makosa unayoyasema wameshikwa ICC haiingilii hizo kesi sababu tayari ziko mikononi mwa vyombo vya sheria vya nchi mwanachama.
Kazi ya ICC Ni mwiko kuingilia kolicho mikononi mwa sheria mwa nchi mwanachama mfano Kuna jitu gaidi limedakwa wewe unakimbilia ICC kuwa lile Ni political prisoner hawakusikilizi.wataachia nchi mwanachama wa ICC wamalizane nalo kwanza.
Mkuu huu ni moto , dam changa Kama za akina lissu sio za mchezo, combination iliyopo katika mchezo huu sio ya kitoto,unaweza shangaa kwa Kasi ya hajabu shauri hili la ICC likaenda kwa speed ya hatari, maana combination inawatu watata Sana.Je, wataingilia Kati kweli au Ni blur blur blur tu
OkaySaa 1 asubuhi.
ACT - Wazalendo ni taasisi hata wao wamesema it’s one of the main opposition parties in Tanzania.ICC hawapokei na kushighulikia barua za individuals
Zitto kaandika peke yake akiwa kajifungia ndani na Maria Sarungi naye kajiandikia peke yake !!!
Kwa hiyo masanduku mliyoingiza kwennye vituo ambayo yaliwapa ushindi ndo mnaona mlishinda kihalali wakati wananchi waliwakataa licha ya kumnyima lisu media coverage na kumfanyia figisu kibaoTatizo la hawa wote ni kukosa ubunge, hata siyo criminality. Yaonekana mambo ya uchaguzi hawana hamu nayo tena! Sasa, Lema kukimbilia Kenya ni criminal kiasi cha kufikishwa ICC? Hapa ndo naona kama opposition na hako kabinti ka kijaluo wana matatizo vichwani.
Naiona trend ya ujinga wa wanasheria kuamini kwamba kila kitu kinapatikana mahakamani. Trump kule atakwama, Lissu naye hapa atakwama tu maana badaye ataambiwa tupige kura.
Ila hatujasikia serikali ya Trump ikiteka na kuua wagombea wa Democratic.Hakuna demokrasia isiyo na mipaka dogo hapa duniani!! Hapa USA ambako wameanza kupratise demokrasi miaka mingi lakini bado wanalalamika tu. Trump na group lake baada ya kushindwa naye analalamika kuwa hakuna demokrasia kwenye uchaguzi uliyopita!
Pia huko wapinzani hawachomi magari na nyumba za wakurugenzi na wabunge wateule!Ila hatujasikia serikali ya Trump ikiteka na kuua wagombea wa Democratic.
Kwanza mpaka sasa hawaamini hiki kinachoendelea maana hawakutarajia. Hili teyari ni funzo kubwa kwa hawa watu.Kuna wajinga humu wanadanganyana hiyo mahakama haiwezi kuwashughulikia watesi wetu, waacheni waendelee kudanganyana.
Wajue fika watapandishwa kizimbani hata kama ni baada ya miaka kumi, kuwa kwao madarakani sasa hivi kusiwadanganye, hiyo siku yaja, watavuna walichopanda.
Hawajagomea Bali polisi na jeshi waliyazuia kwa nguvu. Wananchi walikuwa ready.Tundu kashasema pamoja na kusisitiza kwenye kila mkutano wa kampeni wananchi wameishia kugomea mpango wake wa maandamano na sasa anataka maridhiano na rais John Pombe Joseph Magufuli
Mbona kulikucha siku nyingi tangu tarehe 29/10/2020 na wahusika wako pahala salama!!Kumekucha !
Mbona ya 29/10/2020 na wahusika wako pahala salama mkuu!!Kwanza mpaka sasa hawaamini hiki kinachoendelea maana hawakutarajia. Hili teyari ni funzo kubwa kwa hawa watu.
Mashetani yanajifariji eti yametoa kipigo.Utasubiri Sana brother, nenda kasome vizuri jurisdiction ya hiyo Mahakama and under what curcumstances inaweza ku assume Majukumuu ambayo kimsingi yanapaswa kushughulikiwa na Nchi huska. By the way, hizi ni porojo na Namna ya kujicomfort baada ya kipigo cha Mbwa Koko.
Vitu vingine viko wazi. Take your time, Isomeke hiyo Mahakama, Soma crimes it has jurisdiction to try and kwa Mazingira gani inaweza ku intervene.
Mwisho kabisa, hii Mahakama imeshapoteza Credibility siku nyingi Sana, it is more or less like other Imperialism Machinery and every one's knows that!
Otherwise, endeleni kujifafiji Kama Kawaida yenu!
The International Criminal Court (ICC) in The Hague, has confirmed receipt of two formal letters alleging human rights violations by the Tanzania government in the wake of the October 28 election and its aftermath.
The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), one of the main opposition parties and Maria Sarungi Tsehai, an independent human rights activist, have separately written to court, requesting an official ICC inquiry into their claims of atrocities committed against Tanzanian citizens in opposition and those who are disputing the election’s conduct and results.
View attachment 1626748
In an e-mailed response to a query from The EastAfrican, the ICC prosecutor’s office said although the court was by law ‘’duty-bound’’ to protect the confidentiality of information received on alleged crimes, “in this instance we can confirm we have received the communications as the senders have made that fact public.”
“We analyse material submitted, as appropriate, in accordance with the Rome Statute which established the court and with full independence and impartiality,” the office said.
The first step would be to assess whether the communication concern “matters that are manifestly outside the jurisdiction of the court… As soon as we reach a decision on the appropriate next step, we inform the sender and provide reasons for our decision,” it added.
ACT-Wazalendo leader Zitto Kabwe told the media on November 8 that the party had already submitted evidence to the ICC, Amnesty International and Human Rights Watch.
“We have also written to the Commonwealth and the AU asking them to investigate the October 28 elections and oversee the holding of new elections. We refuse to recognise this election and will continue to protest peacefully for a return of democracy,” Mr Kabwe said.
Ms Tsehai, the director of the independent Kwanza Online TV station and founder of the #ChangeTanzania social movement, tweeted on November 9 that she had also canvassed the ICC, though she was not available for comment on the content of her letter by the time of going to press.
“I used my skills, training as a journalist to fulfil my duty and submit to the ICC evidence of crimes against humanity in Tanzania,” she tweeted.
At least two prominent members of the main opposition Chadema party, one being its presidential candidate Tundu Lissu, have fled Tanzania over the past week, citing persecution by state authorities and threats to their lives, allegations denied by government spokesperson Hassan Abbasi as unsubstantiated.
“Those opposition leaders who are running away on the pretext of having had their lives threatened should tell us who threatened them, when and where. It is those same leaders who just completed 60 days of election campaigning during which they were given non-stop state security and we heard no complaints about that. Now after losing they start complaining about being threatened,” Dr Hassan Abbasi said.
Mr Lissu left for Belgium aboard an Ethiopian Airlines flight on Tuesday after a week holed up at the German embassy in Dar es Salaam, while Chadema’s longtime Arusha Urban legislator Godbless Lemahas been granted political asylum in Kenya with his family.
Both cited security threats for leaving. Mr Lema is one of several Chadema opposition heavyweights who lost their parliamentary seats to CCM newcomers. Another Chadema former MP, Lazaro Nyalandu (Singida North), was also reported to have tried to flee to Kenya but was denied exit by immigration officials at the Namanga border post for lacking proper travel documentation.
Dr Abbasi said he was not worried by negative perceptions being created by the action of fleeing opposition leaders.
“The international community is sensible and doesn’t just believe any Tom, Dick and Harry’s claims for asylum on grounds of persecution. But that is their prerogative. Most of them still respect the 1951 Refugee Convention, Article 1 which offers clear definition who deserves to be a refugee,” he added.
Ndio maana wanakurupuka kujiliwaza kwa majibu ya uongo.Kwanza mpaka sasa hawaamini hiki kinachoendelea maana hawakutarajia. Hili teyari ni funzo kubwa kwa hawa watu.