icloud ya iphone yangu imejaa sina hela ya kulipia kuna njia nyingine ya kupata space bila kulipia??

icloud ya iphone yangu imejaa sina hela ya kulipia kuna njia nyingine ya kupata space bila kulipia??

Mbele ya simu za Ajabu Ajabu, lazima ulipie bills za Ajabu Ajabu pia.
hii iphone si lazima kulipia mfano mm
nilijitoa kulipia bills za miziki ingawa miziki napiga ni vile watu wengi hawajui njia tofauti
 
Isheep wazee wa show off si bora uwe na infinix TU 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom