ID ya Kidukulilo nimeiacha baada ya Kuibuka Matapeli huko Mitandaoni. Natumia Bill Lugano (Billionaire Lugano)

Kabisaaah yaan
 
Kaka billionea bora umeachana na hiyo ID. Kuna siku niliona kiduku lilo wa tweeter akimwita Jk 'My'. Nilistuka sana, nikajiuliza bosi Lugano amepatwa na nini? Tuko pamoja bosi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bill lugano! Napiga picha za kupost Instagram, vipi nikileta mteja wangu apige picha kwenye gari yako ambayo huitumii saaaana!!

NB: MIMI NI PHOTOGRAPHER
 
Woyoooooooooooooh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Sasa sikumoja moja fanya kutugawia miamala bana umaskin unatuuaa
 
🤣🤣
 
Tuko pamoja kaka bosi Billionea, na nikupongeze kwa kuwa na jopo la wataalam na washauri makini.
 
Katika vitu ambavyo sivielewi kabisa, Ni wale wanaokereka na post zako. Siwaelewi kabisaaaaaa.
Nimepata hoteli moja kali sana bei poa.
Hii hapa pichani
 
Ha ha haaaaaaa [emoji23] [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…