ID ya Kidukulilo nimeiacha baada ya Kuibuka Matapeli huko Mitandaoni. Natumia Bill Lugano (Billionaire Lugano)

Anachonifurahishaga huyu mtu,akishaandika post take hana muda wa kujibizana na mtu.
Huwa anasoma comments huku akiwa anapulizwa na kiyoyozi hapo Hyatt regency [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anachonifurahishaga huyu mtu,akishaandika post take hana muda wa kujibizana na mtu.

Na hii ni ishara huyu mtu akija kuwa billionare atakuwa mtu poa tu
Yani anastahili kuwa bilionea,ana swaga flan hivi hana kelele na mtu
 
Kumbe juzi niliyemtumia hela sio wewe ilikua kama $36,000
 
Ila jf [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Tajiri asiye na makuu. Mpole na mnyenyekevu. Matajiri wengine hawataki kabisa kujiunga JF na pia kushare na vijana mawazo yao. Ila Jamaa kajitolea bado kuna watu wanamchukia.
[emoji16][emoji16]
 
Anachonifurahishaga huyu mtu,akishaandika post take hana muda wa kujibizana na mtu.
Matajiri wengi ndio tulivyo tuna Mambo mengi ya kufanya so hatuwezi kupoteza muda wetu kwaajili ya kubishana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hivi huyu hakukojoa kitandani kweli?
 
Kiduku Lilo katika sura nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…