ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

Niliwahi kujaribu kufanya uchunguzi kupitia watu wanaonizunguka kama kuna wanaotumia JF lakini nikakuta hamna kabisa. Kwanza watu wanauliza ndio kuna nini huko huku wengine wakisema wao ni wavivu kusoma soma
Waongo, hata mimi kuna mtu aliniambia khs JF nikamshangaa sana ndio kitu gani? Lakini ukweli naujua mwenyewe 😹😹😹

Wengine walikuwa wanasimuliana chai moja wasijue hiyo chai mpikaji ni mimi 🀣
Toka hapo kuanzia Twitter (x) ig kote nikafungua fake id ili niwe huru 😹
 
Ijumaa ni ngumu sana mzee jpl labdaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe peke yako ndiyo nakujua kiukweli ukweli humu 🀣 🀣 🀣 🀣

Ila ulilosema kuhusu "uhalisia" ni kweli kabisa. Hata mimi namna ninavyofunguka na kuandika humu watu wa duniani wakinijua, nimekwisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo anaekimbia mbona kama mshamba_hachekwi ?
 
Afu Mimi sikujuiiiii hii imekaaje? πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna watu wawili tu ndo wananijua mmoja wapo ni wewe ila wote Mimi siwajui

Mtu anaweza kujiuliza inawezekanaje? Ila imenikuta Mimi πŸ˜‚

Kwanini watu wa Duniani? πŸ˜‚
 
Leo ndo najua JF inatumika kama dating site. My future mume, where are you tuonane?
 
Makutupora ndo maana ukimwita huwa hajikwai pamoja na mibio yote anayotoka nayo machakani 🀣🀣🀣
Mshangazi dot com makutupora
 
By the way ... Kipi kimekufanya uwamini ukweli yule ni Mimi πŸ˜‚

Je kama sio Mimi? My dyadyaaa πŸ˜‚
 
Makutupora ndo maana ukimwita huwa hajikwai pamoja na mibio yote anayotoka nayo machakani 🀣🀣🀣
Mshangazi dot com makutupora
Umenichekesha sana mkuuu!

Unataka kusemaje kwanini πŸ˜‚πŸ˜‚ ... Kwamba akiniita nisipoitikaaa πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila ki ukweli hii fake I'd inafanya jf inanoga usikute hata wewe unanijua ila hivyo Tena πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…