ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

πŸ˜‚
Chai na joto la dar 🀣 sio kabisa
 
Kwa sisi wengine wenye watoto wanaomiliki smartphones unaweza kutukanwa na mwanao huku amekaa pembeni yako, tena akikuporomoshea kashfa kwamba eti emekaa sebuleni kwa shemeji yako unasubiri chakula 🀣🀣. Hilo nimekuwa nikiliwaza miaka mingi sana.
 
mshamba_hachekwi anavyokimbizwa
 
Mimi wa kiatu unatafasiri vipi mkuu πŸ˜‚
 
Sijakutwa na kitu mdogo ake ila siyo kwamba haiwezekani kukutwa na kitu.
Acha tubaki tumefunga hizi PM tu 🀣
Hakuna ulazima sana wa kuogopa kuiacha wazi PM. Sidhani kama wote wana nia mbaya kukufuata PM, lakini hata kama wana nia isiyoendana na matakwa yako hulazimishwi kukubaliana nayo.
 
Mkuu kwa Jiji pa dar lilivyo Hilo linawekana ... Mimi nilikuwa nakutania mkuu
Usinielewe vibaya
Mkuu tena jamaa alikuwa na goli la chipsi kafariki mwaka jana huyu bwana mkubwa, Dar ina mambo kuna wahuni kinondoni shamba walimwita mshikaji wake kupiga chabo kuna mtu anapigwa pipe wasijue anaepigwa pipe ni dada wa jamaa, ile kujipindua tu wanaonekana sister wa mshikaji walijisikia noma kweli. Dar hadi wazee wanakula chabo Dar mji wa kishenz sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…