Idadi kubwa ya Waislam (99%) inaweza kuwa kikwazo cha Uturuki kutokuwa mwanachama rasmi wa EU?

Binafsi naona Rais Samia anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania.
Rais Samia ameweka rekodi ya kupeleka umeme kila kijiji Tanzania Hii haijawahi kutokea kwa Africa Ahsante Samia kwa kuwatumikia Watanzania
 
Mabeberu yameanza kumpigia samia magoti. Tuliwaonya Samia hajaribiwi
 
Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda Mjerumani miaka hiyo wakati bado anaitawala Tanganyika kwa mabavu
Chadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema
 
Ukweli ni kwamba kijiografia eneo la Uturuki lipo katika mabara mawili, kuna eneo lipo Ulaya na kuna eneo lipo Asia.
Tukija kwenye hoja ya kujiunga katika Umoja wa Ulaya, ni wazi kuwa umoja huu umejengwa chini ya mikataba ya haki za binadamu zinazotambua usawa kwa kila binadamu. Uturuki ina waislam wengi, ndani ya uislam hakuna usawa wa mwanamke na mwanaume.
Kwa muda mrefu Uturuki imekuwa ikitaka kujiunga na huu umoja ila sharti lilikuwa ni kurekebisha sheria zake ili ziendane na zile za umoja wa Ulaya.
Ila kuna hoja iko hapa, members wa EU wana uhuru wa free movement kwa wananchi wa nchi husika, ukimruhusu Turkey kuwa mwanachama, waarabu wanavyopenda Ulaya watakuwa wamepata daraja, hivyo lazima ipigwe spana kwanza.
Nakubaliana na wewe kuwa EU ina hofu kuwa Waturuki wakijiunga nao, basi kutakuwa na serious migration ya waturuki ulaya. Lakini hilo haki za wanawake sikubaliani nao. Uturuki ni moja ya nchi chache za M.E zilizoendelea sana kwenye masuala ya haki za binadamu hasa wanawake na makundi ya wachache. Mfano, Uturuki iliruhusu wanawake kupiga kura toka miaka ya 1920, kabla nchi nyingi za Ulaya hazijaruhusu. Mfano France iliruhusu miaka 16 baada yao. Lakini pia wakati karibu sawa na wamarekani. Nadhani hofu kubwa ni tishio la kuenea Uislam kwa kasi na na hilo wa wahamiaji ulilolisema.
 
Safi sana
 
huko duniani ukisema unatoka Tanzania wanaanza kukudadisi mambo mema kuhusu Rais Samia
Kupigia kura aliyetumwa na Wazungu mwaka 2020 hadi mababu na mabibi wangetulaani Kura yangu nilimpa Rais Samia tu.
 
Rais Samia hakuhitaji kupiga kampeni mwaka jana 2020, hata angekaa tu ofisini lazima angechaguliwa kwa kishindo kwa maana uwezo wake unambeba.
 
Samia aliposema yeye ni kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa chini wapinzani walidhani anatania?
 
Rais Samia atatufikisha tu kama ndani ya miaka mitano akiwa na JPM ametufikisha uchumi wa kati haitachukua muda kumfikia Russia.
 
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Samia.
 
Mkuu ni vile tu Rais Samia alitoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi. Ila hata angekaa ofisini ushindi wa kishindo ulikuwa lazima.
 
Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema wamekuwa kama Kiba wanaomchukia Diamond.
 
Back
Top Bottom