Idadi kubwa ya Waislam (99%) inaweza kuwa kikwazo cha Uturuki kutokuwa mwanachama rasmi wa EU?

Wanatakia nini kujiunga EU! kitu gani wamekosa kwenye nchi yao mpaka watake kujiunga na wanyonyaji! Ni kujidhalilisha tu. Kwani ulaya kuna nini haswaa kwao hawana!

Lakini kwa uwepo wa Erdogan kama Rais sidhani kama ataafiki huu mpango.
 
Ukweli ni kwamba kijiografia eneo la Uturuki lipo katika mabara mawili, kuna eneo lipo Ulaya na kuna eneo lipo Asia.

Tukija kwenye hoja ya kujiunga katika Umoja wa Ulaya, ni wazi kuwa umoja huu umejengwa chini ya mikataba ya haki za binadamu zinazotambua usawa kwa kila binadamu. Uturuki ina waislam wengi, ndani ya uislam hakuna usawa wa mwanamke na mwanaume.

Kwa muda mrefu Uturuki imekuwa ikitaka kujiunga na huu umoja ila sharti lilikuwa ni kurekebisha sheria zake ili ziendane na zile za umoja wa Ulaya.

Ila kuna hoja iko hapa, members wa EU wana uhuru wa free movement kwa wananchi wa nchi husika, ukimruhusu Turkey kuwa mwanachama, waarabu wanavyopenda Ulaya watakuwa wamepata daraja, hivyo lazima ipigwe spana kwanza.
Waturuki wengi sio waarabu
 
We mzee thibitisha kwamba uislam hautoi haki kwa wanawake,

Tumepewa vichwa tuvitumie kuwaza nyie mnatumia WOWOWO
 
Chadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema
PUNGUZA UNAZI wa kishamba basi!!! Yaani Samia tayari kashawapeleka Mafisadi CHADEMA???/??
 
Back
Top Bottom