Idadi ya Vijana walevi inaongezeka nchini

Tupe ajira mkuu tuache kushinda vijiweni
 
Mara ya mwisho nimekunywa alcohol yoyote ni January 1 2024, gkasi moja ya Champagne ya kusheherekea mwaka mpya.

Sijanywa pombe tena.

Halafu kila siku naziona pombe, nina Scotch Whisky, Tequila Vodka Gin na wine kwenye home mini bar, nina beer kwenye friji la garage.

Lakinisijaona hata kishawishi cha kunywa pombe.

Na niliamua tu kuacha kunywa, sikulazimika.

Miaka ya nyuma nilikuwa naamua kukaa bila kunywa pombe mpaka miaka miwili.

Katika nchi ambayo pressure ya kunywa pombe ni kubwa sana.

Ukiamua kuacha pombe, unaweza.

Lakini pia, ukiamua kunywa pombe, ni haki yako.
 
Kuna Hawa Wala ugoro Aisee!!! Me wananikera mpk basi!! Kila dakika wanatema mate tu!
Sasa ukute ndo boda boda kakubeba Kila dakika anatema mate huku boda Iko speed, dadekii...!! Kuna mmoja nilimgonga ngumi ya mgongo mpk akanishusha na hela sikumlipa fala yule!!
 
Kufa hk yao pia
 
Mkuuu janga kubwaw hilooo mabodaboda wote wa tbovu kawee kwa zena afrikana n wala ugoro mbayq wanaonja smart gin wanapitishia plan hapoo kaa mbali na pkkzao akitoka unaweza hisi dreamlliner imenyanyuka
 
Niiionyeshwa na dk.mmojq mapafu yanavyokuwa na figo walioathirika a toka sikuhio nlisema wwcha nibaki na cdm.zangy kwa pochiii hukooo hapaaaanaaa huku ntatokq.polepoleee
 
"Jaribu Kuishusha Presha Dr"
Tanesco hawajaongeza tozo yoyote, yule chizi wenu anayevaa hadi chupi ya bendera ya Taifa ndio mbaya wenu.

Endeleeni kuwachekea ccm, kumbe mpaka sasa Watanzania wengi hamumjui adui yenu ni nani
 
Doh!huu mwandiko hapana bhana
 
Du hatari hahahahaha
 
wakati mwingine tunalalamika hiiizii pombe jaman nilitokea znz majuzi kati pale darajani sijui wameamua kutelekezwa wale vijana ama lah

YYaanmateja kama woteee njenjeee wanaenda sehemu na wanajidunga vila shoboooo..wanauza kwa kiziboo cha soda mzigooo

Nkasema tukilia na hizi pombe kuna ambaoo wanakaribia kufa wakiona watoto zaoo na madawa za kulevya znz na kwingjnekoo

Allah atusaidie tu
 
hii slogan alikuja nayo BCM kwenye kampeni akiwa na ACT wazalendo,nafikiri hakumaanisha hali hii KAZI NA BATA.
 
Mkuu kaa vizuri uandike comments Zako, maana unaandika kama umelewa vile
 
Arusha, Kilimanjaro na Manyara pombe inanyweka kuanzia saa 12 asubuhi yani watu mnaenda mihangaikoni au kanisani jpili unapishana na mtu yuko bwiii kijana wa 28 yrs lkn ukimtizama miguu na mashavu yamevimbiana kama katuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa ndo huwa nawaza, wachumba zao wanawezajee kupeana nao denda, khaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…