Idadi ya Vijana walevi inaongezeka nchini

Inahuzunisha kakweli tukienda hivi miaka mingine 4 sijui hali itakuwaje nguvu kazi imegeuka kuwa mazombie
HII HALI SIKIA KWAMWENZIOO ASIWE NDUGU YAKOO

WANASEMA KICHAA UTAMCHEKA KAMA ATOKUWA NDUGU YAKO AKIWA WAKO NYOO KAKAA TUOMBE SANA TAIFA LETU NA EAC NZIMA JANGA LA TAIFA HILI
 
HII HALI SIKIA KWAMWENZIOO ASIWE NDUGU YAKOO

WANASEMA KICHAA UTAMCHEKA KAMA ATOKUWA NDUGU YAKO AKIWA WAKO NYOO KAKAA TUOMBE SANA TAIFA LETU NA EAC NZIMA JANGA LA TAIFA HILI
Ni kweli, miaka kadhaa nyuma tulizisikia rombo huko mpakani lakini hivi tunavyozungumza hii tabia imeshamea mpaka ukanda wa Singida bado kidogo itakuwa ni janga la kitaifa, mchelea mwana kulia hulia yeye
 
Bora uko mapombe huku znz mateja wanakula unga mwishowe wanakua machizi
Mkuu nilikuwa huko tkka jnne nimerudi jana aisee darajan na sehemu moja sijui wanaitajee kwishnaaa kabsaaa vjana

uko njian nilikuwa hotel moja pemben ya immigration aisee tunatembea tunakuta vijana wamechokaa kama wazee wa miaka 69 wanaomba 300 wengine wanaongeaaa wenyewe ..nikamwomba Mungu awasaidie tu

Nkaenda paje hukoo doooh siongei Allah awabadilishee
 
waitaliano wametumaliza kabisa na madawa alafu unakuta wanauza wao mahotel yao aisee
 
Sijui wanaweka nini kwnye hutwo tupombe mbaya zaidi hawali chakula hiki ndo kinafanya wavimbe mashavu, midomo inaungua mtu muda wote uso unakuwa km kapigwa bomu la machozi
 
King kong chuma nishapita shida nyingi, msoto chakaraa🎡🎡🎡 anaandika chuma chid benz...
 
Wamekusikia mkuu...



Cha ajabu, hii post itawachukiza na hasira zao watazimalizia kwenye pombe tena.
 
Wafungie hivi vipombe vyao vya ajabu vilivyokuja kwa kasi kama walovyofungia viroba kipindi kile.

Afya ya vijana inazidi kuwa matatani.

Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa.
 
Denda kwenye mtaala wa mapenzi Africa haipo... Denda origin yake ni western huko, Huku africa hakuna mambo mengi
Ni kama simu au kupanda daladala havikuwepo kama umevikubali hata denda ukubali tu hamna namna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
we kama unapenda ngono mbona tuja kusimanga
 
as a former liquor taker, pombe ni hatari sana, bahati mbaya sana ukiwa mtumiaji huwezi ona, na utaona wasiotumia ni mafala, hawana starehe yoyote!
 
Naona kuandika kwako ni tatizo mzee
 
Mi ni mnywaji lakini nitaacha Mungu akipenda...hatari sana nimempeleka ndugu yangu hadi sober manyara kule...kapewa matibabu miez minne akawa fresh kabisa...kapanda gari aje dar...kafika dodoma kalianzisha...naenda mpokea nakuta mtu yupo chwii...aisee..nilichoka ni very genious...kama exposures anazo...amesoma Asia miaka 6..pombe mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…