Idadi ya Vijana walevi inaongezeka nchini

Tena nasikia siku hizi vijana wanatumia "dubur" zao kulewa.

Majanga.
 
Iam confused Sasa Allah mbona ndio kaahidi mito ya pombe peponi
 
Acheni vitisho raia urusi huko watu wanashindia vodka na maisha yanaendelea
 
Mabikira 72 na mito ya ngedule na wanzuki na chamu haijaahidiwa na Allah wenu mbona unawakana mudi na.mpwa wake allah subhanau wataala?
Siyo 72, mbona unashusha idadi?

Ni bila ya hesabu. Peponi tena upangiwe hesabu? Haiji.
 
Pia kule Kagera vijana wanalewa sana hali sio shwari kabisa
 
Aisee kwa hili hii hata mimi narudi kwetu kabisa kukaa huko ili nchi ikiwa kama kenya naangali kwenye TV.
 
Sasa unataka hawa vijana waliosoma wafanyaje, huko serikalini wamejaa viongozi vilaza wasiotaka watu waliosoma kuogopa kuumbuliwa na ndiyo maana viongozi wengi ni wachawi, wanaomba vijana waendelee kuwa walevi, wapenda dini, bongo fleva, na kuwahimiza waendelee kusali na kuwa wapole Mungu anawaona.
 
Sasa wewe unaujuwa Uislam kuliko Muislam?

Biblia unaielewa?
HUo ni uongo ukifa ukafaulu kuingia mbinguni unakunywa mvinyo na kusikiliza nyimbo nzuri nzuri kila mmoja atapewa sura mpya na kusherekea .

sasa hao wanaume upewe ukafanye ngono tena huko jamani ,mbinguni sijasikiaga kwanza sio mwili unaenda mbinguni ni roho na kule hakuna tena kuoana rejea biblia usije ukachekwa bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…