Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Ndo ivo. Kila wilaya mbunge mmoja, isipokuwa kwa wilaya za Dar ambapo population density ni kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Bunge la KIJANI hilo halishindikani.Katika kile kinachosemekana kuwa ni mwendelezo Wa Kua na idadi ndogo ya wabunge ,itakayokuwa rahisi kuisimamia , inasemekana kuna jambo lipo jikon kuja kama pendekeza laku merge majimbo ili idadi ya wabunge ipungue ikibidi bunge liwe na idadi isiyozid wabunge 200.
Kumbuka Kwa Sasa wabunge ni 300+.
Ikumbukwe kuwa serikal ya awamu ya tano tayar kupitia kamati zake kuu na halimashauri kuu yaan NEC ,imekwisha punguza idadi ya wajumbe Kwa idadi kubwa.
Hii pia itatumika kama jaribio la kuzima wingu Wa wabunge Wa upinzan kwenye uchaguzi mkuu.
Mfano mnyika anaweza jimbo lake likaunganishwa na jimbo lenye ushwishi mkubwa Wa CCM,ili jumla ya Kura zimtoe.
Hapa kutakua na mtego mkubwa sana ,Na majimbo yatakayolengwa ni yaliyo na upinzan mkali
Kwa sasa ccm hata Dodoma inachukiwa hivyo hakuna sehemu ina ushawishi tena zaidi ya wabeba virungu tuKatika kile kinachosemekana kuwa ni mwendelezo Wa Kua na idadi ndogo ya wabunge ,itakayokuwa rahisi kuisimamia , inasemekana kuna jambo lipo jikon kuja kama pendekeza laku merge majimbo ili idadi ya wabunge ipungue ikibidi bunge liwe na idadi isiyozid wabunge 200.
Kumbuka Kwa Sasa wabunge ni 300+.
Ikumbukwe kuwa serikal ya awamu ya tano tayar kupitia kamati zake kuu na halimashauri kuu yaan NEC ,imekwisha punguza idadi ya wajumbe Kwa idadi kubwa.
Hii pia itatumika kama jaribio la kuzima wingu Wa wabunge Wa upinzan kwenye uchaguzi mkuu.
Mfano mnyika anaweza jimbo lake likaunganishwa na jimbo lenye ushwishi mkubwa Wa CCM,ili jumla ya Kura zimtoe.
Hapa kutakua na mtego mkubwa sana ,Na majimbo yatakayolengwa ni yaliyo na upinzan mkali
Wafanye yoote wapendayo ila CCM itambue kuwa kuna MWISHO!!
Magufuli ajifurahishe apendavyo ila atambue kuwa “YANA MWISHO”
Hakuna aliyewahi waza Sumaye na Lowassa Leo watakua upinzani!! Hawa watu Magu hawezi zifikia kariba zao hata robo lakini Leo tunaongea lugha moja!!
Muda ndiye hakimu wa yote!!
Nakumbuka riwaya pendwa ya KULI “lakini yana mwisho”
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujiitavyo hauendani na uandishi
Hayo maneno ndio umekoroga kuonyesha mada yako imejaa porojo asilimia kubwa au niseme yote.
Mjifunze kuandika na sio kudanganya
Pia waondoe na wabunge wa kutoka jimbo la ikulu pia itapendezaWazo la kupunguza idadi ya wabunge si wazo baya; litaokoa fedha nyingi na labda linaweza kulazimisha mabadiliko ya utendaji wa Bunge hilo. Jambo la kwanza ni kuondoa wabunge wa viti maalum. Hawana wanayemwakilisha ambaye hawakilishwi na mbunge wa jimbo.
Lowasa alitegemewa awamu ya pili ya kikwete ilikuwa aondoke. Kila ishara zilituonyesha anaondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona shehe yahya alishafariki?
In God we Trust
Hawa hawa ndiyo wanaongeza mikoa kila kukicha matokeo yake kuongeza majimbo na hivyo idadi ya Wabunge.
Kutokana na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa makusanyo ya kodi na baadhi ya nchi za wafadhili kusimamisha misaada yao serikali inaanza mikakati na kupunguza wabunge, haitoshi tu kupumguza wabunge ili kukabiliana na hizi issues mbili bali pia fagio la chuma serikalini halikwepeki kwa at least 25% or higher.
Matokeo ya kumsukumizia kichaa Ikulu.
wabunge viti maalum tu wanatosha kufikisha hiyo idadi wanayotakaUkubwa wa baraza la mawaziri ni eneo lingine muhimu sana kuliangalia. Inafaa kuwa na serikali ndogo yenye mawaziri wasiozidi 20 ili kubana matumizi na kuongeza tija
Ukubwa wa baraza la mawaziri ni eneo lingine muhimu sana kuliangalia. Inafaa kuwa na serikali ndogo yenye mawaziri wasiozidi 20 ili kubana matumizi na kuongeza tija
Wakifuta na wakuu wa wilaya ndo kabisa wanaokoa mabilioni wakuu wa mikoa tuwaoigie kurawabunge viti maalum tu wanatosha kufikisha hiyo idadi wanayotaka
Nitawaona wa maana km wataondoa vii maalum vyote,wakuu wa mikoa,wilaya!wabaki wakurugenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu wakiamua wanaweza tu kuishinikiza serikaliViti maalum ni mtego flan kwa mtawala hawezi kuviondoa bila shinikizo flan kutoka maala flan
Mbona uzi wako umekaa kishabiki sana mkuu