Tetesi: Idadi ya wabunge kupunguzwa

Ndo ivo. Kila wilaya mbunge mmoja, isipokuwa kwa wilaya za Dar ambapo population density ni kubwa.
 
Waige muundo wa usa, kila mkoa utoe senetors wawili. Tuwe na bunge la senate,Lakini sisi tusiwe na house of representative. Idadi ya mikoa x2 inakuwa idadi ya wabunge.
 
Kwa Bunge la KIJANI hilo halishindikani.
 
Kwa sasa ccm hata Dodoma inachukiwa hivyo hakuna sehemu ina ushawishi tena zaidi ya wabeba virungu tu

In God we Trust
 
Umenena ya kweli kabisa mkuuu
In God we Trust
 
Wewe endelea kumlea mwana wa kichina tu ndiyo kazi unayo iweza
Ujiitavyo hauendani na uandishi

Hayo maneno ndio umekoroga kuonyesha mada yako imejaa porojo asilimia kubwa au niseme yote.
Mjifunze kuandika na sio kudanganya

In God we Trust
 
Pia waondoe na wabunge wa kutoka jimbo la ikulu pia itapendeza

In God we Trust
 
Wana ccm walifanya kosa kubwa sana kumkabidhi rungu huyo mtu
In God we Trust
 
Ukubwa wa baraza la mawaziri ni eneo lingine muhimu sana kuliangalia. Inafaa kuwa na serikali ndogo yenye mawaziri wasiozidi 20 ili kubana matumizi na kuongeza tija
wabunge viti maalum tu wanatosha kufikisha hiyo idadi wanayotaka
 
Kuna waziri anaundiwa wizara kila mwaka ili mradi aendelee kuwepo kwenye serikali hii
Ukubwa wa baraza la mawaziri ni eneo lingine muhimu sana kuliangalia. Inafaa kuwa na serikali ndogo yenye mawaziri wasiozidi 20 ili kubana matumizi na kuongeza tija

In God we Trust
 
Ikiwezekana tuunganishe mihimili yote, au tuanze na bunge, liunganishwe na ule mhimili uliojichimbia zaidi
 
Viti maalum ni mtego flan kwa mtawala hawezi kuviondoa bila shinikizo flan kutoka maala flan
Mabeberu wakiamua wanaweza tu kuishinikiza serikali

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…