Natamani wangepitia hili Wazo..kwa kweli serikali inapoteza hela nyingi kwa administrative issues kuna utitiri wa viongozi + cost ya kuwahudumia tunazidi kurudi nyumaNitawaona wa maana km wataondoa vii maalum vyote,wakuu wa mikoa,wilaya!wabaki wakurugenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
HekoWaanze kuwaondoa wanaoitwa "Wabunge wa viti maalum" inamaana wanawakilisha viti maalum au wananchi? Watolewe kwakuwa hakuna wanaowawakilisha.
Pili kusiwepo na wakuu wa wilaya as long as kuna Wabunge, Wakurugenzi watendaji na pia kuna makatibu tawala mkoa na wakuu wa mikoa pia.
Utumiaji mbaya wa pesa za walipa kodi kulipa mishahara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said mkuu. Inawezekana Waziri sio lazima awe mbunge tukaondoa utitiri wa wabunge maalumusheria inaweza kubadilishwa ili kuendana na mahitaji ya wakati huo
Katika kile kinachosemekana kuwa ni mwendelezo wa kuwa na idadi ndogo ya wabunge ,itakayokuwa rahisi kuisimamia , inasemekana kuna jambo lipo jikoni kuja kama pendekeza laku merge majimbo ili idadi ya wabunge ipungue ikibidi bunge liwe na idadi isiyozid wabunge 200.
Kumbuka Kwa Sasa wabunge ni 300+.
Ikumbukwe kuwa Serikal ya awamu ya tano tayari kupitia kamati zake kuu na halimashauri kuu yaan NEC ,imekwisha punguza idadi ya wajumbe Kwa idadi kubwa.
Hii pia itatumika kama jaribio la kuzima wingu Wa wabunge Wa upinzan kwenye uchaguzi mkuu.
Mfano mnyika anaweza jimbo lake likaunganishwa na jimbo lenye ushwishi mkubwa Wa CCM,ili jumla ya Kura zimtoe.
Hapa kutakua na mtego mkubwa sana ,Na majimbo yatakayolengwa ni yaliyo na upinzan mkali
Haya ndo mawazo mfu! Majimbo mapya yalipokuwa yakiundwa, tuliambiwa inafanyika ili kuongeza wabunge wa CCM. Sasa unasema wakipunguza majimbo ni kuumaliza upinzani.Katika kile kinachosemekana kuwa ni mwendelezo wa kuwa na idadi ndogo ya wabunge ,itakayokuwa rahisi kuisimamia , inasemekana kuna jambo lipo jikoni kuja kama pendekeza laku merge majimbo ili idadi ya wabunge ipungue ikibidi bunge liwe na idadi isiyozid wabunge 200.
Kumbuka Kwa Sasa wabunge ni 300+.
Ikumbukwe kuwa Serikal ya awamu ya tano tayari kupitia kamati zake kuu na halimashauri kuu yaan NEC ,imekwisha punguza idadi ya wajumbe Kwa idadi kubwa.
Hii pia itatumika kama jaribio la kuzima wingu Wa wabunge Wa upinzan kwenye uchaguzi mkuu.
Mfano mnyika anaweza jimbo lake likaunganishwa na jimbo lenye ushwishi mkubwa Wa CCM,ili jumla ya Kura zimtoe.
Hapa kutakua na mtego mkubwa sana ,Na majimbo yatakayolengwa ni yaliyo na upinzan mkali
kama Hoja ni kuokoa matumizi ya fedha basi siungi mkono, maana mpaka sasa Utawala huu unaongoza kwa kufuja mali.
Ni vema namba kubwa yenye kuleta tu vurugu badala ya kutuwakilisha