Naunga mkono hoja!
Wabunge wenyewe ni matumbo oriented, si chama tawala wala upinzani, hata wakiwepo wabunge wa kanda, mfano kanda ya kusin mbunge mmoja, kanda ya kaskazin mbunge mmoja, na kanda zingne vilevile, kama kanda ya Kati, kanda ya ziwa, kanda ya magharib, kanda ya pwani etc .
Kwa vile tuko kwenye Sera ya "kuokoa fedha" hapa tutakuwa tumekoa sana!
Wabunge wengi miaka minne wanakaa Dar , wakati majimbo yao hayapo Dar. Halafu mwaka wa mwisho (tano) wanarudi kuwalaghai wananchi ili wapate ubunge, na waende tena Dar!
Maana ya kuwa na mbunge inapotea kabisa .
Sent using
Jamii Forums mobile app