Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii pia itatumia kama jaribio la kuzima wabunge Wa upinzan kwenye uchaguzi mkuu.
Lowasa alitegemewa awamu ya pili ya kikwete ilikuwa aondoke. Kila ishara zilituonyesha anaondokaWafanye yoote wapendayo ila CCM itambue kuwa kuna MWISHO!!
Magufuli ajifurahishe apendavyo ila atambue kuwa “YANA MWISHO”
Hakuna aliyewahi waza Sumaye na Lowassa Leo watakua upinzani!! Hawa watu Magu hawezi zifikia kariba zao hata robo lakini Leo tunaongea lugha moja!!
Muda ndiye hakimu wa yote!!
Nakumbuka riwaya pendwa ya KULI “lakini yana mwisho”
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanye yoote wapendayo ila CCM itambue kuwa kuna MWISHO!!
Magufuli ajifurahishe apendavyo ila atambue kuwa “YANA MWISHO”
Hakuna aliyewahi waza Sumaye na Lowassa Leo watakua upinzani!! Hawa watu Magu hawezi zifikia kariba zao hata robo lakini Leo tunaongea lugha moja!!
Muda ndiye hakimu wa yote!!
Nakumbuka riwaya pendwa ya KULI “lakini yana mwisho”
Sent using Jamii Forums mobile app
Cocochanel will be turning in her grave, what a disgrace.Ujiitavyo hauendani na uandishi
Hayo maneno ndio umekoroga kuonyesha mada yako imejaa porojo asilimia kubwa au niseme yote.
Mjifunze kuandika na sio kudanganya
Katika kile kinachosemekana kuwa ni mwendelezo Wa Kua na idadi ndogo ya wabunge ,itakayokuwa rahisi kuisimamia , inasemekana kuna jambo lipo jikon kuja kama pendekeza laku merge majimbo ili idadi ya wabunge ipungue ikibidi bunge liwe na idadi isiyozid wabunge 200.
Kumbuka Kwa Sasa wabunge ni 300+.
Ikumbukwe kuwa serikal ya awamu ya tano tayar kupitia kamati zake kuu na halimashauri kuu yaan NEC ,imekwisha punguza idadi ya wajumbe Kwa idadi kubwa.
Hii pia itatumika kama jaribio la kuzima wingu Wa wabunge Wa upinzan kwenye uchaguzi mkuu.
Mfano mnyika anaweza jimbo lake likaunganishwa na jimbo lenye ushwishi mkubwa Wa CCM,ili jumla ya Kura zimtoe.
Hapa kutakua na mtego mkubwa sana ,Na majimbo yatakayolengwa ni yaliyo na upinzan mkali
Viti maalum ni mtego flan kwa mtawala hawezi kuviondoa bila shinikizo flan kutoka maala flanNitawaona wa maana km wataondoa vii maalum vyote,wakuu wa mikoa,wilaya!wabaki wakurugenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona uzi wako umekaa kishabiki sana mkuuKatika kile kinachosemekana kuwa ni mwendelezo Wa Kua na idadi ndogo ya wabunge ,itakayokuwa rahisi kuisimamia , inasemekana kuna jambo lipo jikon kuja kama pendekeza laku merge majimbo ili idadi ya wabunge ipungue ikibidi bunge liwe na idadi isiyozid wabunge 200.
Kumbuka Kwa Sasa wabunge ni 300+.
Ikumbukwe kuwa serikal ya awamu ya tano tayar kupitia kamati zake kuu na halimashauri kuu yaan NEC ,imekwisha punguza idadi ya wajumbe Kwa idadi kubwa.
Hii pia itatumika kama jaribio la kuzima wingu Wa wabunge Wa upinzan kwenye uchaguzi mkuu.
Mfano mnyika anaweza jimbo lake likaunganishwa na jimbo lenye ushwishi mkubwa Wa CCM,ili jumla ya Kura zimtoe.
Hapa kutakua na mtego mkubwa sana ,Na majimbo yatakayolengwa ni yaliyo na upinzan mkali
Tena waliona katiba mpya na tume huru haziwahusu wananchi walipopigia kelele walijiona wako Salama japo walikuwa na nafasi ya kushinikiza mabadiliko,Leo wanatamani mabadiliko kuliko hata MTU yeyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lowasa alitegemewa awamu ya pili ya kikwete ilikuwa aondoke. Kila ishara zilituonyesha anaondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Waanze kuwaondoa wanaoitwa "Wabunge wa viti maalum" inamaana wanawakilisha viti maalum au wananchi? Watolewe kwakuwa hakuna wanaowawakilisha.Katika kile kinachosemekana kuwa ni mwendelezo Wa Kua na idadi ndogo ya wabunge ,itakayokuwa rahisi kuisimamia , inasemekana kuna jambo lipo jikon kuja kama pendekeza laku merge majimbo ili idadi ya wabunge ipungue ikibidi bunge liwe na idadi isiyozid wabunge 200.
Kumbuka Kwa Sasa wabunge ni 300+.
Ikumbukwe kuwa serikal ya awamu ya tano tayar kupitia kamati zake kuu na halimashauri kuu yaan NEC ,imekwisha punguza idadi ya wajumbe Kwa idadi kubwa.
Hii pia itatumika kama jaribio la kuzima wingu Wa wabunge Wa upinzan kwenye uchaguzi mkuu.
Mfano mnyika anaweza jimbo lake likaunganishwa na jimbo lenye ushwishi mkubwa Wa CCM,ili jumla ya Kura zimtoe.
Hapa kutakua na mtego mkubwa sana ,Na majimbo yatakayolengwa ni yaliyo na upinzan mkali
Nakuunga mkono mkuuWazo la kupunguza idadi ya wabunge si wazo baya; litaokoa fedha nyingi na labda linaweza kulazimisha mabadiliko ya utendaji wa Bunge hilo. Jambo la kwanza ni kuondoa wabunge wa viti maalum. Hawana wanayemwakilisha ambaye hawakilishwi na mbunge wa jimbo.