Idadi ya Wanaume duniani ni kubwa zaidi kuliko ya wanawake

Haya ya kusema kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume nazo ni propaganda kama propaganda nyingine zilizoanzishwa na wanaume ili kuhalalisha umalaya wao, hapa bongo wanawake ni wengi kuliko wanaume lakini idadi waliyopishana wala siyo kubwa sana kiasi cha kuhalalisha kila mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja, hata ukiweka hizo factors zote zinazotajwa kuwa chanzo cha idadi ya wanaume kupungua bado haifanyi wanaume wawe wachache kwa kiasi hicho kinachosemwa kwenye mitandao
 
Wa kenya ndio wamejanjaruka sana wajezana uko kweny dating app kama vile za kwao peke ako.ila dada zetu communal life imewashika akili wachache sana wana hobbie ya kuluka nje
Nasi tuwachochee dada zetu wajanjaruke waende huko dating app tupate mashemeji wa kichina.
 
Hii ni taarifa maalum kwenu wadada wote mliojikatia tamaa kwamba hamuwezi kuolewa kisa wanaume ni wachache kuliko wanawake.

Ni wakati sasa wa kuachana na huzuni kisa umekosa mwanaume wa kukuoa. Ukweli ni kwamba wanaume ni wengi kuliko wanawake.

Ikiwa kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume katika eneo au nchi yako, hiyo haioneshi ukweli wa kimataifa. Kwa idadi kubwa kama hii duniani ya wanadamu 8,118,835,999, kulingana na takwimu, Wanaume : wanawake = 1 : 1.

Kuna wastani wa..
wanaume 4,079, 164,815 na wanawake 4,039,671, 184 duniani. Hii inawasilisha 50.24% ya wanaume na 49.76% ya wanawake kwa idadi ya watu duniani. (U. N World Population Prospects 2024).

Katika nchi kama China, India, Saudi Arabia, UAE na Oman, wanaume ni wengi kidogo kuliko wanawake. Katika nchi nyingi za Ulaya Mashariki na Afrika Kusini mwa jangwani la Sahara wanawake ni wachache zaidi kuliko wanaume.

Uwiano wa asili wakati wa kuzaliwa kwa wavulana : wasichana = 107 : 100
Lakini wanaume wana muda mfupi wa kuishi kutokana na sababu mbalimbali za kijamii. Hivyo basi ikiwa wewe ni bachelor tambua kuwa maisha ni mafupi hivyo ni vyema ukajipatia popote duniani mwenza wako mapema kabla hajafa.

NB tunaishi katika global village unaweza kujipatia mwenza wa kukuoa popote pale duniani, wanaume ni wengi sana.

Ubarikiwe.

Ni kweli lakini kumekuwa na upotoshaji wa dhahiri kwa miaka mingi sana.
 
Tatizo ni ubora dhidi ya wingi quality versus quantity.

Hapa Tanzania kuna wanaume wengi ambao kila MTU angeamua kuoa maana yake kila mwanamke angepata MTU the same kwa wanawake wapo wengi wa kuwatosha wanaume.

Ila tukija katika ubora Tanzania na duniani kote kupata version yenye full package ni ngumu Sana .

So ukiangalia wanawake wa bongo wengi bado hawana quality the same wanaume wengi hawana quality.

Ukisema MTU aolewe na aoe yeyote nadhani hakuna MTU angekosa mme au mke Ila issue ipo katika MTU anayejitambua ambaye ana sifa za kuitwa mke au mme.
 
Nimemaliza form four .Darasa letu lilikuwa hivi
Me: 90s
Ke: 200s
Jumla darasani tulikuwa 218.

Kadanganye kwingine
Takwimu yako ya darasani huko kwenye kibaigwa ndio uliibeba na kuiamini daima?

Hebu toka huko kibaigwa na uje huku Hongmeng ushangae nyomi la wanaume.
 
Hii ni taarifa maalum kwenu wadada wote mliojikatia tamaa kwamba hamuwezi kuolewa kisa wanaume ni wachache kuliko wanawake.

Ni wakati sasa wa kuachana na huzuni kisa umekosa mwanaume wa kukuoa. Ukweli ni kwamba wanaume ni wengi kuliko wanawake.

Ikiwa kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume katika eneo au nchi yako, hiyo haioneshi ukweli wa kimataifa. Kwa idadi kubwa kama hii duniani ya wanadamu 8,118,835,999, kulingana na takwimu, Wanaume : wanawake = 1 : 1.

Kuna wastani wa..
wanaume 4,079, 164,815 na wanawake 4,039,671, 184 duniani. Hii inawasilisha 50.24% ya wanaume na 49.76% ya wanawake kwa idadi ya watu duniani. (U. N World Population Prospects 2024).

Katika nchi kama China, India, Saudi Arabia, UAE na Oman, wanaume ni wengi kidogo kuliko wanawake. Katika nchi nyingi za Ulaya Mashariki na Afrika Kusini mwa jangwani la Sahara wanawake ni wachache zaidi kuliko wanaume.

Uwiano wa asili wakati wa kuzaliwa kwa wavulana : wasichana = 107 : 100
Lakini wanaume wana muda mfupi wa kuishi kutokana na sababu mbalimbali za kijamii. Hivyo basi ikiwa wewe ni bachelor tambua kuwa maisha ni mafupi hivyo ni vyema ukajipatia popote duniani mwenza wako mapema kabla hajafa.

NB tunaishi katika global village unaweza kujipatia mwenza wa kukuoa popote pale duniani, wanaume ni wengi sana.

Ubarikiwe.

Ni kweli lakini kumekuwa na upotoshaji wa makusudi wa kusema kinyume chake .
Si unajua tena ktk jamii ya mfumo dume.
Ambapo mwanamke akiolewa anatakiwa avumilie yote ikibidi hata kufia ndoani bila kuitafuta Furaha yake ilipo.
 
Hii ni taarifa maalum kwenu wadada wote mliojikatia tamaa kwamba hamuwezi kuolewa kisa wanaume ni wachache kuliko wanawake.

Ni wakati sasa wa kuachana na huzuni kisa umekosa mwanaume wa kukuoa. Ukweli ni kwamba wanaume ni wengi kuliko wanawake.

Ikiwa kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume katika eneo au nchi yako, hiyo haioneshi ukweli wa kimataifa. Kwa idadi kubwa kama hii duniani ya wanadamu 8,118,835,999, kulingana na takwimu, Wanaume : wanawake = 1 : 1.

Kuna wastani wa..
wanaume 4,079, 164,815 na wanawake 4,039,671, 184 duniani. Hii inawasilisha 50.24% ya wanaume na 49.76% ya wanawake kwa idadi ya watu duniani. (U. N World Population Prospects 2024).

Katika nchi kama China, India, Saudi Arabia, UAE na Oman, wanaume ni wengi kidogo kuliko wanawake. Katika nchi nyingi za Ulaya Mashariki na Afrika Kusini mwa jangwani la Sahara wanawake ni wachache zaidi kuliko wanaume.

Uwiano wa asili wakati wa kuzaliwa kwa wavulana : wasichana = 107 : 100
Lakini wanaume wana muda mfupi wa kuishi kutokana na sababu mbalimbali za kijamii. Hivyo basi ikiwa wewe ni bachelor tambua kuwa maisha ni mafupi hivyo ni vyema ukajipatia popote duniani mwenza wako mapema kabla hajafa.

NB tunaishi katika global village unaweza kujipatia mwenza wa kukuoa popote pale duniani, wanaume ni wengi sana.

Ubarikiwe.
Uongo
 
Sasa km wanaume ni wengi, bas ndo vizuri wengine waleft groups kupunguza competition.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbuka wamehesabu na vichanga! Na vichanga ndio wengi
Nikweli lakini pia wanawake Wazee pia ndio wengi. Hata Tanzania wanawake wametupita kuanzia miaka 50+ kwasababu wanaume tunazaliwa wengi kuliko wanawake lakini wengi tunaishia before 60yers
 
Back
Top Bottom