United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Wa kenya ndio wamejanjaruka sana wajezana uko kweny dating app kama vile za kwao peke ako.ila dada zetu communal life imewashika akili wachache sana wana hobbie ya kuluka njeMie nawachochea waruke kimataifa kuna wanaume wengi huko kuliko Tanzania.
Sasa dada zetu wa hapa wataolewa na wanaume wa huko china au india mkuu ..Sio kwamba nawapa moyo bali nawaambia ukweli wapo wanaume wengi huko China, Romania, UAE India nk.
Wataolewa ndiyo.Sasa dada zetu wa hapa wataolewa na wanaume wa huko china au india mkuu ..
ππππππππ
Nasi tuwachochee dada zetu wajanjaruke waende huko dating app tupate mashemeji wa kichina.Wa kenya ndio wamejanjaruka sana wajezana uko kweny dating app kama vile za kwao peke ako.ila dada zetu communal life imewashika akili wachache sana wana hobbie ya kuluka nje
Sawa sawaWataolewa ndiyo.
Hii ni taarifa maalum kwenu wadada wote mliojikatia tamaa kwamba hamuwezi kuolewa kisa wanaume ni wachache kuliko wanawake.
Ni wakati sasa wa kuachana na huzuni kisa umekosa mwanaume wa kukuoa. Ukweli ni kwamba wanaume ni wengi kuliko wanawake.
Ikiwa kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume katika eneo au nchi yako, hiyo haioneshi ukweli wa kimataifa. Kwa idadi kubwa kama hii duniani ya wanadamu 8,118,835,999, kulingana na takwimu, Wanaume : wanawake = 1 : 1.
Kuna wastani wa..
wanaume 4,079, 164,815 na wanawake 4,039,671, 184 duniani. Hii inawasilisha 50.24% ya wanaume na 49.76% ya wanawake kwa idadi ya watu duniani. (U. N World Population Prospects 2024).
Katika nchi kama China, India, Saudi Arabia, UAE na Oman, wanaume ni wengi kidogo kuliko wanawake. Katika nchi nyingi za Ulaya Mashariki na Afrika Kusini mwa jangwani la Sahara wanawake ni wachache zaidi kuliko wanaume.
Uwiano wa asili wakati wa kuzaliwa kwa wavulana : wasichana = 107 : 100
Lakini wanaume wana muda mfupi wa kuishi kutokana na sababu mbalimbali za kijamii. Hivyo basi ikiwa wewe ni bachelor tambua kuwa maisha ni mafupi hivyo ni vyema ukajipatia popote duniani mwenza wako mapema kabla hajafa.
NB tunaishi katika global village unaweza kujipatia mwenza wa kukuoa popote pale duniani, wanaume ni wengi sana.
Ubarikiwe.
Takwimu yako ya darasani huko kwenye kibaigwa ndio uliibeba na kuiamini daima?Nimemaliza form four .Darasa letu lilikuwa hivi
Me: 90s
Ke: 200s
Jumla darasani tulikuwa 218.
Kadanganye kwingine

UongoHii ni taarifa maalum kwenu wadada wote mliojikatia tamaa kwamba hamuwezi kuolewa kisa wanaume ni wachache kuliko wanawake.
Ni wakati sasa wa kuachana na huzuni kisa umekosa mwanaume wa kukuoa. Ukweli ni kwamba wanaume ni wengi kuliko wanawake.
Ikiwa kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume katika eneo au nchi yako, hiyo haioneshi ukweli wa kimataifa. Kwa idadi kubwa kama hii duniani ya wanadamu 8,118,835,999, kulingana na takwimu, Wanaume : wanawake = 1 : 1.
Kuna wastani wa..
wanaume 4,079, 164,815 na wanawake 4,039,671, 184 duniani. Hii inawasilisha 50.24% ya wanaume na 49.76% ya wanawake kwa idadi ya watu duniani. (U. N World Population Prospects 2024).
Katika nchi kama China, India, Saudi Arabia, UAE na Oman, wanaume ni wengi kidogo kuliko wanawake. Katika nchi nyingi za Ulaya Mashariki na Afrika Kusini mwa jangwani la Sahara wanawake ni wachache zaidi kuliko wanaume.
Uwiano wa asili wakati wa kuzaliwa kwa wavulana : wasichana = 107 : 100
Lakini wanaume wana muda mfupi wa kuishi kutokana na sababu mbalimbali za kijamii. Hivyo basi ikiwa wewe ni bachelor tambua kuwa maisha ni mafupi hivyo ni vyema ukajipatia popote duniani mwenza wako mapema kabla hajafa.
NB tunaishi katika global village unaweza kujipatia mwenza wa kukuoa popote pale duniani, wanaume ni wengi sana.
Ubarikiwe.
Hata idadi iwe kubwa vipi nataka wa pekeangu uweeeeπππ!
ππππSasa km wanaume ni wengi, bas ndo vizuri wengine waleft groups kupunguza competition.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikweli lakini pia wanawake Wazee pia ndio wengi. Hata Tanzania wanawake wametupita kuanzia miaka 50+ kwasababu wanaume tunazaliwa wengi kuliko wanawake lakini wengi tunaishia before 60yersKumbuka wamehesabu na vichanga! Na vichanga ndio wengi
Nimemaliza form four .Darasa letu lilikuwa hivi
Me: 90s
Ke: 200s
Jumla darasani tulikuwa 218.
Kadanganye kwingine