Idadi ya Wanaume waliotoka kimapenzi na Shilole

Idadi ya Wanaume waliotoka kimapenzi na Shilole

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
1716988837627.jpg
 
Ukishaacha mume wa kwanza tu hutaolewa tena, wanaume watakuwa wanakula shoo wanaishia zao. Keshazeeka, madingi nao watakuwa wanajilia zao na kumuacha. Vijana walafi watamuita lishangazi nao watapakua mzinga na kula asali kisha kusepa zao
 
Tofauti ya Shilole na wanawake wengine ni kutojitangaza mitandaoni. Kama Shilole kwa miaka yote hiyo kapita na hao wanne tu basi ni mtu mwema. Mademu zetu wengi utakuta kawapanga wanne kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom